Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 793
Wadau, jana niliweka simu mezani: kijana wangu mdogo akaichukua na kuanza kuichezea, nlivokuja kustka imelock line (Vodacom) inaomba PUK!!! Bahati mbaya kabisa nilishapoteza (Hii line ni ya kitambo sana)! Nimewapigia voda wanadai ne-renew, kilio changu ni kwenye contacts zangu! Je kunauwezekano wa kufanya manuva na kupata PUK? (mfano kitu kama PUK generator au vyovyote)!
Thanx!
Thanx!