Habari Jf.Mi nna diploma in clinical medicine .Malengo yangu mwaka huu ni kurudi chuoni MUHAS/SUA.Nime2mia muda mwingi kutafuta forms tajwa hapo juu bila mafanikio.Ninashimdwa kuelewa kuwa tatizo...
Miaka michache iliyopita tuliwahi kuwa na mazumzo na watu Fulani kuhusu Punguzo la Programu za komputa zinazotumika sana na Watu nchini haswa zile za Kampuni la Microsoft kama Microsoft Office ...
salama wanatekno...guys nimesikia huduma ya tigo ya data ni nzuri...sasa mimi siwez kupata mtandao wao wanaodai ni wa 3G Napata EDGE tu....tafadhalini msaada kwa hl,shukran.
Helo wataalam
Kuna ka modem ka Huawei E153 KAMENISHINDA kuchakachua
nimejaribu kufuatilia thread mbali mbali lakini napata error 'send unlock command: ERROR
baada ya kufuata hatua anuai...
NOTE: This post is intended for novice users. Experts are welcome to contribute.
Social Networks kama facebook ,tweeter, JF, n.k zimejenga uhuru mkubwa wa kujieleza. Bahati mbaya kuna wengine...
hellow great thinkers! Nina tatizo na simu yangu ni iphone 3G (mchina),ilianguka chini,sasa inaleta shida in texting! Ni touch screen. Kwa yeyote aliye na utaalam wa michina anisaidie...
The whole social networking phenomenon has millions of Americans sharing their photos, favorite songs and details about their class reunions on Facebook, MySpace, Twitter and dozens of similar...
hapo chini huyo jamaa atatoa interview amwage razi live tarehe 4 mwezi huu
more news na majadiliano gonga hapo chini
Inventor Survives 10 Murder Attempts to Release World Changing...
Kuna kitu kinatendeka kuhusu hii airtel internet.
Wao wamekuja na offer wanakupa 200mb free ukiongeza credit kabla ya saa 6 usiku, sasa cha kushangaza nimekuja kugundua kwamba ukiweka credit na...
nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??
Ndugu zangu nina usb flash 2 ambazo moja inajina Kingstone data traveler 8GB na ya pili inaitwa Sony 8GB.Tatizo lilopo kwenye hizi flash ni kwamba zinaharibu files ambazo zipo kwenye format ya...
Nimejiunga na Tigo muda si mrefu baada ya kununua modem yao, kinachonikera ni kuqa mara kwa mara mtandao unakatika yaani una kuwa hauna access. Inabidi kila mara ku click kwenye connect ili kuanza...
Ok wakuu
Hii image ninataka ichukue seheu ya juu ya web page . web yenyewe inahusika ni directory ambayo itakuwa na contact za watu ,biashara taaluma na huduma mbali mbali. Ville vile...
Hii modem ina kadude kaa kuingizia LINE lakini yenyewe kama yenyewe haitumii line na Zantel inapiga net kama kawa...
Sasa nataka kuichakachua kama modem nyingine ili nitie line ya TIGO au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.