Tumia internet ya bureee tiGo

Tumia internet ya bureee tiGo

Status
Not open for further replies.

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
Mambo wadau.

ninazo line za tiGo ambazo unatumia Internet access ya buree(UNLIMITED 3.5G speed).

waweza unganisha Kwenye modem yoyote inayokubali line za GSM.

Kupata hizi line inatakiwa uchangie kidogo SH 25,000/= tu

waweza place order yako hapa au PM me ili kufanikisha. utajaribu kwanza ndipo utapolipia.Guarantee ni mwezi mmoja. zipo chache najitahidi kuzimultply...haya kazi kwako
 
sijaelewa....ina maana utakuwa umewaibia tigo laini zao au wamekupa uwauzie?.....na kwa nini bure?
 
PRETA...hizi ni line za deal kutoka tigo. wafanyakazi huwa wanapewa line zenye ip ambazo ni free...si unajua wao hawawezi lipia huduma sababu wanajua jinsi ya kuzi kwapua, nimebahatika kupata access ya hizo ip.. sema wataka ngapi waweza tumia kwa modem au hata kwa simu yako.
 
preta...ni line za dili zinatoka huko huko kwao wanatengeneza na kuziuza. sema wataka ngapi.
 
Wee bwana acha kututapeli hapa!!Jaribu Kariakoo!!Hapa hupati mtu
 
preta...ni line za dili zinatoka huko huko kwao wanatengeneza na kuziuza. sema wataka ngapi.

basi kama ni za Tigo ngoja niende huko huko tigo niwaambie waniuzie hizo za namna hiyo....asante kwa information
 
sasa huku kwenye Jf management officers wa tigo ni members pia!watazi block mda s mrefu!
 
Wee bwana acha kututapeli hapa!!Jaribu Kariakoo!!Hapa hupati mtu

Watz tumezoea kuwa ukiona kitu cha bei rahisi unahisi kuibiwa! Niliwahi kuwambia watu kuwa "Internet ya bei nafuu sana tsh 2500 tu kwa mwezi!" Nilishambuliwa sana kuwa ni uongo mara utapeli wakati si kweli! Nawashauri watanzania wawatumie hawa wataalamu wa kitanzania kuboresha maisha yao! Mm natumia 2500 kwa mwezi na nipo online muda wote!!!
 
Tuache utapeli. Kwanza tigo gharama zao za intenet ni za kawaida.
 
Kweli kabisa..pia wakumbuke Tunatofautiana vipato..wapo watu wanahitaji vitu vya bei rahi na wapo watu wanataka vya gharama. hii ishu ni kweli na pia ni challenge kwao tigo wafahamu kuwa kuna watanzania kama sisi tuna angalia na ku explore LOOPHOLE zao zina fanya security expert wao wakune vichwa na kuwa bora zaidi.
 
mhoja...HAKUNA KITU CHA BEI NAFUU ZAIDI YA BUREEEE!!

BURE MAANA YAKE NO COST at all.
kama unaona nafuu ni kwako na kipato chako.
kuna mtu hawezi bado lipia hiyo nafuu kwako.
 
Mambo wadau.

ninazo line za tiGo ambazo unatumia Internet access ya buree(UNLIMITED 3.5G speed).

waweza unganisha Kwenye modem yoyote inayokubali line za GSM.

Kupata hizi line inatakiwa uchangie kidogo SH 25,000/= tu

waweza place order yako hapa au PM me ili kufanikisha. utajaribu kwanza ndipo utapolipia.Guarantee ni mwezi mmoja. zipo chache najitahidi kuzimultply...haya kazi kwako

Hili ni jukwaaa la teknolojia wewe unatangaza biashara.

Toa ujuzi na elimisha nini umefanya kuwezesha hiyo modem ipate mtandao bure. Otheriwise peleke hii habari kwenye matangazo madogo madogo.
 
NATAMANI NIFANYE HIVYO NIMWAGE KILA KITU HAPA WATU WAJICHOTEEE...

TATIZO NI KWAMBA KAMA SI WEWE MTU WA TIGO BASI KUMBUKA KUWA NAO NI WANAJAMII FORUM

SO WANAFATILIA KWA MAKINI HII POST ILI WAJUE TUNAFANYEJE NA WAO WAKAFUNGE...ni kama TOM NA JERRY vile..KAKA UMENISOMA VIZURI NAJUA TU UMEELEWA...
KAMA WATAKA NITAKUELEKEZA BASIC WAY YA KUCHAKACHUA ILA HAITAKUBALI ANYWAY..
 
Unadhani monitoring ya wanaotumia bure mapaka iandikwe ndo wajue? wanweza kuona huko huko kwao wakiamua kwa hiyo hata wewe ukiuza 25,000 baada ya wiki wakigundua wanaweza kuziba. utawarudishia watu pesa zao?

We mwaga ujuzi kamanda hapa ni teknolojia. Inawezekana umepata setting au proxy fulani wanayotumia wafanyakazi wao. Tuambie

Heading yako tu inatsha kuwafaya washtuke na wazibe endelea kutoa ujuzi hakuna kitakachobadilika
 
Watz tumezoea kuwa ukiona kitu cha bei rahisi unahisi kuibiwa! Niliwahi kuwambia watu kuwa "Internet ya bei nafuu sana tsh 2500 tu kwa mwezi!" Nilishambuliwa sana kuwa ni uongo mara utapeli wakati si kweli! Nawashauri watanzania wawatumie hawa wataalamu wa kitanzania kuboresha maisha yao! Mm natumia 2500 kwa mwezi na nipo online muda wote!!!

mtandao gani?
 
basi kama ni za Tigo ngoja niende huko huko tigo niwaambie waniuzie hizo za namna hiyo....asante kwa information

Ukienda huko ukafanikiwa kuiweka kwenye ubuntu yako uje unijulishe

Alafu we P hiyo kumechisha rangi za kucha na rangi ya "kabati la vyombo" ndo style yako?????
 
Ukienda huko ukafanikiwa kuiweka kwenye ubuntu yako uje unijulishe

Alafu we P hiyo kumechisha rangi za kucha na rangi ya "kabati la vyombo" ndo style yako?????

usijali la aziz....kesho j2 hawafungui, j3 ndio kitu cha kwanza kufanya....lazima nikugawie.......
kuhusu rangi usijali....hii mpaka kwenye vikombe ipo
 
Hizo line zipo lakini huwa hazidumu.!

Ukweli ni kwmba it can even be blocked nusu saa baada ya wewe kuwa paid!

Deal haina tija bana nionacho unataka kugeuza JF kijiwe cha deal za kitapeli!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom