The New tiGO internet modem

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
989
797
Salamu wakuu..ningependa kufahamu kama the new tiGO internet iko fast and reliable as they say it is because nikicheki the service wanayonipo on my phone naogopa kuinunua. I know wana advertise 3.5G 7.1mbps :nono: which i know is impossible maybe in S.korea but is it promising compared to Voda,sasatel,zain au TTCL.
 
mi mwenyewe nilienda jana kwenye duka lao la posta sijaitumia ila wameigawa kwenye bundle aina 3 .Modem zao zinauzwa 50 elfu mi napenda zaidi Zantel speed yao ni nzuri mno
 
ebu walotumia watupe deatail mana wanajigamba sana kwamba wana speed ya kufa mtu ila kwa hyo ya kusema 7.1mbps hyo ni connection speed sio downlouding n uplouding speed ndipo wanapotuchakachua hapo
 
nimetembelea site yao...kuna light standard na max....cjui wanafkria nn!
 
Na hili swala la fair usage policy niliyo soma kwenye website yao ni totally stupid kwani wakitupa real UNLIMITED kwa 70,000. watapungukiwa nini
 
eti wana sort bundles kwa speed!! To hell with their 3.5 network..even my N79 have 3.5G!
 
Nilivyo sikia tigo wana modem nikafeel so happy nikajua coz of there history ya low prices nitaona kitu kama 12GB for 70000 kumbe itaishia kuwa ndoto..i cant blow 250,000 for the unlimited bundle
 
ebu walotumia watupe deatail mana wanajigamba sana kwamba wana speed ya kufa mtu ila kwa hyo ya kusema 7.1mbps hyo ni connection speed sio downlouding n uplouding speed ndipo wanapotuchakachua hapo

Samahani, hivi Downlouding/uplouding ndio kitu gani iko mkuu?
 
Moderm yangu ya zain, kwa shilingi 2500, tu napata 400mb, ambazo natumia zaidi ya wiki mbili, wakati tigo wao eti ulipe 3000, kwa siku nzima ya internet, basi, TIGO hii imekula kwenu fanyeni mabadiliko haraka kuhusu bei zenu
 
hakuna kitu, hawa jamaa siwaamini, kama net kwenye simu inazingua sasa iyo moderm sijui ndo itakuwaje:A S thumbs_down:
 
eti? 3,000 siku nzima? watafute biashara ingine, sisi tunatwanga na modem zetu za kuchakachuwa kwa airtel 2500 mwezi.
 
Tatizo hawa jamaa wanaona kutumia internet ni kama anasa! Ilianza hivi kwenye simu sasa wamebadilika kidogo, hope na kwenye internet watabadilika tu maana ushindani ni mkubwa
 
nilienda dukani kwao mlimani city hao wataalam waliowaweka hapo kituko tu. Wanakwambia ati inategemea matumizi yako na zile bundles zao ukiulizia speed wanakuambia speed ni ya kutosha ila hawajui wanadai tu kama unataka unachagua bundle kutokana na matumizi ila speed ni kali. Hapa ni kwamba walikuwa hawajajiandaa kuingiza hiyo product katika market na hawajafanya research ya kutosha kujua washindani wao wanafanyaje kuanzia bei, speed mpaka bunndles walizonazo...
 
Hiyo modem ya airtel wanauza bei gani

Modem ya airtel wanauza tsh. 60,000/= unapewa na bundle la 8GB ndani ya mwezi iishe, kisha unakua unapiga 400Mb kwa 2500/= kwa mwezi ila ikiisha mapema unanunua tena
 
jee inawezekana kutumia modem ya zantel kutumia internet ya airtel. ? ikiwa inawezekana njia ni ipi? please somebody help
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom