Modem ya mtandao upi itanifaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem ya mtandao upi itanifaa?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, May 14, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wana jf habari zenu? Nimesikia malalamiko mengi kuhusu modem za tigo na airtel pia, vp kuhusu Zantel na Ttcl? Cost vs efficiency vinahusika
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  zantel elfu1 unatumia1/2hr wezi
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  TTCL wapo kisiasa zaidi they dont means business, covarage yao ndogo bundel sio affordable sana na unakuwa limited kutumia ttcl tu, modem zao hazina machakachuzi.

  ZANTEL walinza vizuri sana lakini baada ya kushiba customer wamegeuka bundle zao wizi mtupu, modem zao hazina utundu.

  SASATEL hawa nao wapo wapo tu kama hawapo covarage yao ndogo sana tena hapa dar tu, modem zao hazina utundu.

  VODA ipo powa kwa bundle za juu mfano elf30 unlimited mwezi, kwa walala hoi maumivu, covarage ya kutosha na cha ziada modem zao zinachakachulika so u can use it kwa tigo na airtel,pei ya modem ipo juu

  AIRTEL hawa jamaa kwa sasa ni kimbilio la walala hoi na bundle yao ya mb 400 kwa tsh 2500, covarage wapo powa tatizo lao modem zao hazichakachuliki na bei ipo juu

  TIGO wageni sokoni bundle zao angalau, covarage kimtindo sio sana, modem zao bei powa na zinachakachulika kwa kutumia na voda na airtel

  pima chagua,
  ushauri tigo inafaa, bei ndogo rahisi kuchakachua, unakuwa flexble kwa tigo,voda na airtel. au nunua ya voda nayo inachachulika ila bei kubwa kidogo.
  Sikushauri ttcl,zantel na sasatel kwa uchumi wetu wa kibongo bongo labda kama upo njema
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nashukuru kwani umenipa yote, hyo bundle ya 400mb ya airtel ni limited?
   
 5. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  sio limited 4oomb kwa 2500
   
 6. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi natumia sasatel, jero (500)tshs.unlimited 24hrz.Mi naona iko poa tu labda kama uko nje ya Dar hapo ni ngumu.
   
 7. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Je bundle ya 400mb airtel inatumika kwa 24hrs au zaidi?mimi natumia data siku ya 500 kwa 24 hrs lakini inaisha faster sana,naombeni mniwezeshe jinsi ya kuenrol 400mb.
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Ttcl ndo mpango mzima..speed ya ajabu.
   
 9. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwa nini bei zinatofautiana hzo modem
   
 10. g

  gooner Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuma neno INTERNET kwenda 15444
   
 11. mazd

  mazd Senior Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Modem na Net iliopoa kwako ni ile unayohisi itakishi mahitaji yako na kulinganisha na kipato chako.
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu sasatel ni wahuni sana, hiyo bundle ya unlimited 24hrs kwa jero ni kwawale wanaotumia simu za sasatel kama modem na hii haiwahusu wenye modem za sasatel.
  Speed yao ni kichefuchefu kwa bundle hii.
  mimi ninayo modem ya sasatel the best bundle kwangu mimi ni sh 7500 unapata gb 1.6 kwa siku tisa,na speed yao inatia moyo
  lakini nikiunga kwa simu kama modem niweke hiyo ya jero unlimited yaani speed huwezi kudownload file la mb 100 kwa siku,
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasatel SpeedWeek+ Ni Bomba nilikuwa Zantel nimeachana nao baada ya kuleta Mizengwe kwenye Highlife yao.
   
 14. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kila m2 anapigia upatu mtandao anaoupenda au kuutumia yeye, sasa jamani eh upi bora? Au nayo mpaka tupige kura? Mjuzi yeyote wa mambo hayo au aliyetumia yote atoe ufafanuzi hapo tupate jibu la manufaa!
   
 15. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mimi nadhani ni kulingana na matumizi yako kama wewe ni mzee wa downloads nakushauri utumie ya ttcl. Lakini kama ni matumizi mengine ya kawaida tumia airtel au zantel japo nao wana matatizo yao but so far naona ttcl is the best one even for downloading coz speed inafika hadi 3mbsps
   
 16. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ttcl mobile na ttcl broadband kiboko bwana achana na hii kitu ingine yote!
   
 18. zizon

  zizon Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifupi ni ivi kaka airtel ndo kila kitu kama upo mkoani ambako airtel ipo sina uhakika na zinginezo hasa ttcl na sasatel bt voda ,airtell,tigo ambazo ni known, air tell ni kiboko kwani 2500 unapata 4oomb kwa mwezi mzima na consuption yake ni naafuu kulinganisha na voda mimi huwa nadownload hadi 200mb kwa maramoja bila shida lakini nzuri zaidi ukipata zile moderm za kwanza zilizo adikwa zain halafu zenyewe nyeusi kwanza zinachakachulika halafu uwezo wake wa kushika network ni mkubwa kulinganisha na hizi za sasa pia ulaji wake ni kutokana na matumizi kama salio kwa simu bt hadi iishe utakuwa umefanya mambo mengi sana mimi ndio ninayo tumia mara zote nlisha jaribu voda na tigo hasa voda ni ghali sana 2000/= unapata 50mb halafu hufanyii kitu cha maana imeisha so kiushauri tafuta modem hiyo kaka.
   
 19. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na kwa mcctizo hata tu mimi pia natumia hiyo ya airtel ni noumeeeeer aisee na download,na play game nasikiliza music na madudu mengine kibao nikichek salio ni kama bureeeeeeeeeeeee dah!
   
 20. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nilikuwa natumia voda buku 2 kwa 50mb, nikaichakachua sasa natwanga na airtel 2500 unapata 400mb kwa kusoma email, magazeti na majamiiforums tu inakaa zaidi wiki, sa mungu anipe nini tena? airtel ndo mpango mzima.
   
Loading...