Watch Freemovies online

What has this got to do with technology and science ?

Poor you!!! Hujui maana ya tech & sce. Hivi miaka kumi iliyopita uliweza kuangalia cinema kwa kupitia mtandao??? Hata wewe mwenyewe kama sio Tech. na Sce. usingeweza kupost hilo swali lako. Pole!!!
 
mkuu inaweza kutumia mb ngapi kwa wastani kuangalia movie moja ?

Mara nyingi zinakuwa filamu fupifupi kama kb 200 na kuendelea. Unaweza ku-enjoy kufuatana na programme unayotumia kwenye cop. maana nyingine ziko slow. Pia speed itategemea na mtandao unaotumia, nyingine ziko slow mpaka unaboreka. Ni hayo tu kama kuna mwenzetu atujuze zaidi...
 
What has this got to do with technology and science ?

Mkuu, Watching movie is an entertainment, but watching online is TECHNOLOGY, so u wrong for wrongly thinking that he was wrong..!!
 
sikushauri uangalie hizo movie online kama bundle zenyewe ni za sh 2500 au sh 500 na mitandao yenyewe unayotumia ni tigo au voda coz live video streaming ni ishu coz kama una mtandao unaokatakata itakula kwako vibaya mno coz mi huwa natumia airtel kuwatch hizo movie lakini nikiwa na 1gb na kuendelea coz airtel huwa haikatikati kama mitandao mingine na haili pesa nyingi sana
Mara nyingi zinakuwa filamu fupifupi kama kb 200 na kuendelea. Unaweza ku-enjoy kufuatana na programme unayotumia kwenye cop. maana nyingine ziko slow. Pia speed itategemea na mtandao unaotumia, nyingine ziko slow mpaka unaboreka. Ni hayo tu kama kuna mwenzetu atujuze zaidi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom