Dodoma: Laptop inatafutwa/inahitajika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma: Laptop inatafutwa/inahitajika.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Radio Producer, May 14, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele.
  Ametoa laki 3.
  Jaman kama kuna mtu wa kihivyo anayo hiyo kitu hebu aPM nimpe contact za huyo mtu wasawazishe!
  Asanteni wakuu!
   
 2. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo linawezekana subiri waje wakazi wa Dom
   
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Please i don't like cheating nataka watu walio serious!
   
 4. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ipo DELL INSPIRION D400- Dar fanya hima kuni PM italetwa Dom mara moja.
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Check Pm yangu mkuu
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa bei hiyo labda akanunue Pentium III yenye ram 256
   
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Siyo Inspirion ni Latitude D400. Dah! hah hah hah kweli hii ina mfaa kwa bei yake hiyo!
   
 8. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu usikalili vitu utaumiza kichwa sana bure! kwa taarifa yako nimepata computer laptop nzuri tu yenye 1GB ram na 160GB HDD. tena kwa bei hiyohiyo teh teh teh
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Laki 3 ni bora ukanunue desktop.
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bora umwambie mkuu...Anadai mimi kumwambia hivyo ni na kariri vitu teh teh teh! hata ya 50,000- utapata kwa bei hiyo tu bwa hah hah hah
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hongera, inawezekana ni ya wizi au ina ubovu flani. Ichunguze vizuri kabla hujalipia.
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  inawezekana kabisa
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nadhani ameshailipia na mwenye kuiuza pesa ameshakula......:biggrin1::biggrin1:
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ya wizi hiyo, aseme kanunua duka gani. laptop zinaibwa sana siku hizi na kuuzwa kwa bei che...
   
 15. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mengine yakwenu mimi nimeshapata na ni nzuri maana na mimi nimepitapita IT naweza kuchambua nyama na mfupa! Tena sikutegemea kupata nzuri kiasi hicho shida ya nini si uiangalie hapa chini
  laptop.jpeg
   
 16. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yaani bado mi sijaelewa kabisa mkuu anataka laptop au desktop? Maana hizo ni bei za desktop tena desktop zenyewe zenye CRT monitor sio flat,huyo jamaa yako mwammbie kama hana haraka hizo pesa azihifadhi zikifika angalau laki nne na nusu ndio atafute laptop coz kwa hiyo pesa laptop atakayouziwa plus matengenezo inaweza ikafika laki sita kwa sababu kwa bei kama hizo za laki tatu atapata laptop iliyokufa betri na betri ya laptop ni kkuanzia sh laki moja na kuendelea so laki moja plus laki tatu unapata sh ngapi bado haujampa fundi aliyejifanya amegundua tatizo la hiyo laptop,nasema hayo nikiwa kama muuza hizo laptop used na new na technician wa hizo laptop na desktop.
   
 17. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hongera mkuu kama umepata laptop nzuri kwa bei ndogo,,safi sana..........:dance::dance:
   
Loading...