VISUAL STUDIO 2010, java NetBEANS 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VISUAL STUDIO 2010, java NetBEANS 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Einstein, May 15, 2011.

 1. Einstein

  Einstein Senior Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wanaJF?

  Naomba kupata video tutorial za jinsi ya kutumia Visual studio 2010 na NetBeans 7, effectively.. Kama una link au unazo mahala popote please naomba msaada wako..


  Nataka kufahamu vizuri jinsi ya kuzitumia hizi IDE, visual studio 2010 na NetBeans 7..


  Pia naomba msaada wa mahali ambapo nitaweza ku-download VISUAL STUDIO 2010


  Shukran sana!!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  VIsual studio ipo Microsoft

  free version inayoitwa express unaweza ipata hapa Microsoft Express Downloads - Visual Studio Express and SQL Server Express hii ni VS express 2010 ukitaka VS express 2008 chukua hapa Microsoft Express Downloads - Visual Studio Express and SQL Server Express

  Ukitaka kupata proffesional au developer au ultimate edition ambazo wanauza unaweza kuipata kwenye ile site maarufu kwa bei sawa na bure teh teh teh

  Kuhusu Video tutorial nenda youtube tu andika Visula studio. Vile vile kama unayo bandwidth ya kutosha kudowload chukua hizi hapa
  Learn Visual Studio (Video Tutorials) (download torrent) - TPB size yake ni ni kama MB 560

  Zaidi ya youtube Kwa netbeas unaweza kupata video na support document yake hapa
  http://netbeans.org/kb/docs/intro-screencasts.html
   
 3. mazd

  mazd Senior Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
Loading...