Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Kompyuta yangu inatumia windows 7. Wiki iliyopita iliniletea meseji inayosema WINDOWS 7 BUILD 7600. THIS COPY OF WINDOWS IS NOT GENUINE. Baada ya meseji hiyo kutokea, ghafla screen ilibadilisha rangi na kuwa nyeusi tii.
Swali langu ni hili; Je hali hii ikiendelea kompyuta yangu itapata madhara gani? Na je, jinsi gani nitaweza kuliondoa tatizo hilo?
Kwa anayejua, naomba msaada
Swali langu ni hili; Je hali hii ikiendelea kompyuta yangu itapata madhara gani? Na je, jinsi gani nitaweza kuliondoa tatizo hilo?
Kwa anayejua, naomba msaada