Jamani Kuna dhuluma inafanyika airtel internate : ukijiunga na bundle au ukiwa na bonus na huku ukiwa na hela ya ziada kwe modem, ile hela inaliwa yote na kubakia sh 4 ambapo huwezi kupata...
Poleni na kazi wana jf coz mna2saidia mambo mengi sana,kwa leo mimi naomba msaada kuhusu hili;Nina diesel injini HP20 so nilikuwa natafuta motor inayoweza kunizalishia umeme mwingi nawezaipata...
Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au
"propel accelerator 6.3.0.3303"
Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software...
habari za sasa wanajf..
me natumia laptop lakin huwa natumia flash disk tofauti tatizo ambalo nimelipata ni kuwa desktop yangu yote imeliwa na virus haina icon hata moja ni tatizo gumu sana kwangu...
wakuu humu jf naomba msaada kwa wenye kujua jinsi ya kudownload freely adobe flash player kwenye computer yangu. Nimejaribu mara kadhaa lakini nimeshindwa
Guys this app is very cool...easy to install and it can be found easily in ur phonebook/contacts...u can chat right from ur phonebook,share location,wat u r listening etc...head to nokia beta labs...
Nimejitahidi kuangalia sites mbalimbali via google nimetoka patupu. sasa kama kuna mtu keshawahi fanya hii kitu naomba animwagie maujuzi hapa. Optical drive-cd rom yangu imegoma na sina option...
Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window
Nimefuata procedures za kufuata manually SOMA HAPA lakini nimekwama katika product key,nifanyeje?
Nitashukuru
R
Habari zenu wandugu jf..
Sasa jamii me natumia dell laptop dell latitude d600..natafuta driver za wireless..nimejaribu kudownload kwenye dell website yao lakin inanizungua..msaada wa link kuna...
Habari zenu wandugu jf..
Sasa jamii me natumia dell laptop dell latitude d600..natafuta driver za wireless..nimejaribu kudownload kwenye dell website yao lakin inanizungua..msaada wa link kuna...
Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au
"propel accelerator 6.3.0.3303"
Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software...
Microsoft has launched the finished version of its Internet Explorer 9 web browser.
The company said IE9's graphics handling, security and privacy features put it on an even footing with Firefox...
WanaJF mambo vp? Jamani umeme unatusumbua sana hadi unapelekea nawaza jambo fulani sijui inawezekana? Hivi hakuna utaalamu unaoweza kutumika ukawa na inveter inayozalisha umeme wa AC220v umeme huo...
wadau naomba tena msaada wenu, naomba mnijulishe kama kuna njia nyingine ya kupata password ya mtumiaji wa iphone ili aweze kudownload programmes na vitu vingine.Nimejitahidi kuregister ili kupata...
Jamani naomba msaada wenu wadau wa teknolojia hii, Nilikuwa naformat laptop yangu nilipoweka cd ya windows xp imekwenda ikafika mahala ikanitolea msg yenye maneno haya STOP...
Heshima Kwenu.
Wakuu kama Miezi Sita iliyopita Nilinunua Nokia 5130 na nimeitumia Vizuri sana hadi kama wiki mbili zilizopita ilipoanza kunisumbua, Ina tatizo la kuzima na kujiwasha yenyewe kila...