Naomba watalamu Airtel ni kwa nini miji yetu ya Kondoa, Babati na Loliondo mtandao hafifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba watalamu Airtel ni kwa nini miji yetu ya Kondoa, Babati na Loliondo mtandao hafifu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ka2pain, Apr 19, 2011.

 1. Ka2pain

  Ka2pain Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mimi nipo Kondoa natumia moderm ya zain (USB stick) hatupati mtandao wa internet kama miji mingine. ninapokwenda Dodoma au Arusha napata 3G rangi ya bluu.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Forgeted zone!!!
  no diamond
  no gold
  no livestocks
  no roads
  no lakes
  no sea
  no rivers
  no schools
  no crops
  no kikombe
  no border
  No animals
  no food
  no tanzanite
  labda mgundue uranium
  JUST jokin..
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kuwa na 3G inatakiwa kuwe na vifaa vinavyosuport 3g kwenye Tower, providers mara nyingi hawaweki maeneo ambayo yana watumiaji wachache bcoz inakuwa hasara kwao.
   
Loading...