Punguzo la bei toka Zantel

Petiro

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
309
45
:panda::panda::panda::panda:
The new price of modems is Tsh 25000

Weekly - 500MB @ Tsh 8000
Monthly - 500MB @ Tsh 10,000
Monthly - 2GB @ Tsh 40,000
 
Attachments

  • zantel.png
    zantel.png
    23.5 KB · Views: 72
  • zantel.png
    zantel.png
    79.7 KB · Views: 84
mkuu hii mbona imetoka zamani, karibu mwezi sasa.

Sasa unasema ili iweje? Ulituletea sie hapa tujue punguzo? Mtu kaamua kutaarifu na kawaida kama kunawanaojua basi nyamaza kama hatujkui sie faida kwetu

Acha kukatisha watu moyo wa kushare news kama hizi
 
wote wenye mpango wa kukununua modem ni bora wakanunua za Airtel....kwani ukinunua modem unapata bundle ya 8gb..hivyo ukiangalia moderm ya Airtel ni bure....Na neti yao haisumbui kama Voda
 
:panda::panda::panda::panda:
The new price of modems is Tsh 25000

Weekly - 500MB @ Tsh 8000
Monthly - 500MB @ Tsh 10,000
Monthly - 2GB @ Tsh 40,000

Hivi kuna kampuni ya simu inatoza kadri unavyorumia (charge per usage) huduma ya data?
 
Sasa unasema ili iweje? Ulituletea sie hapa tujue punguzo? Mtu kaamua kutaarifu na kawaida kama kunawanaojua basi nyamaza kama hatujkui sie faida kwetu

Acha kukatisha watu moyo wa kushare news kama hizi

samahani mkuu! japo sijui nimefanya kosa gani. Hii mbona ilisha liwekwa hapa na watu wakajadili.
 
wote wenye mpango wa kukununua modem ni bora wakanunua za Airtel....kwani ukinunua modem unapata bundle ya 8gb..hivyo ukiangalia moderm ya Airtel ni bure....Na neti yao haisumbui kama Voda

Ni kweli mkuu moderm ya Airtel ni mpango mzima ku log out sio lazima na hautajuta kamwe.
 
Kwa sasa hamna anayeweza kushindana na AIRTEL, tuma neno INTERNET kwenda 15444 itakuuliza kuthibitisha, tuma neno YES kwenda 15444 unakua umepata MB 400 ambazo unatakiwa kuzitumia kwa mwezi mmoja, wiki sasa natwanga tu mzigo, ila sijui kama ikiisha kabla ya mwezi kama naruhusiwa kujiunga tena au laa
 
unaweza kununua tena mara 2 unapomaliza bundle yako.unapomaliza mapema na kununua nyingine katika mwezi huo huo unapewa bonus.EATEL JISIKIE HURU
 
Kwa sasa hamna anayeweza kushindana na AIRTEL, tuma neno INTERNET kwenda 15444 itakuuliza kuthibitisha, tuma neno YES kwenda 15444 unakua umepata MB 400 ambazo unatakiwa kuzitumia kwa mwezi mmoja, wiki sasa natwanga tu mzigo, ila sijui kama ikiisha kabla ya mwezi kama naruhusiwa kujiunga tena au laa

Unaruhusiwa kujiunga muda wowote ili mradi umemaliza kifurushi cha mwanzo.Airtel Mpango mzima.
 
Back
Top Bottom