Hivi ni namna gani ya ku-print Scrn na kupast bila alama nyingine za window kuonekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni namna gani ya ku-print Scrn na kupast bila alama nyingine za window kuonekana?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kibirizi, Apr 26, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana JF kama kuna mtu anafahamu juu ya ku-print scrn na ku-paste bila ya window kuonekana, yaani niweze kupaste kile ninachokihitaji bila kuonekana vitu ambavyo nimeminimize.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  just google it. but kukupa clue laptop yangu mm printscreen ipo baada ya f12.

  Assuming unatumia OS ya "madirisha" kukurahishia kabisa soma hapa Windows Print Screen Key
  :help: ed?
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  njia rahisi ni kuprint screen (hivyo hivyo na window zote kuonekana), then paste kwenye program ya paint, nna assume unatumia windows (start ---all programs-----accessories-----paint). Ukishapaste kwenye paint, select tena sehemu unaoyoiitaji then uicopy au ui cut then unaweza ukaipaste kwenye document au unaweza ukaisave kama picha (whatever your usage is with that)

  Hope that helps!
   
 5. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa mara nyingine tena ninafuraha kubwa kutoa shukrani zangu za kipekee kabisa kwa Bw.Mtazamaji kwa kunipa useful link ambayo imejibu maswali yangu yote kuhusiana na print scrn and paste, asante sana mkuu! Nimeona vitu vingi zaidi ya nilivyouliza. Kitu kingine cha msingi umewezaji kuweka hiyo link ikawa active ikiwa na maneno ya msingi, kwa sababu sisi wengine hatuwezi ni lazima ingekuwa na mauchafu mengine ie Picture of Windows Keyboard - Explanation of Keys kitu ambacho sipendezewi nacho nataka link isomeke jina la mada. Tafadhali msaada mkuu.
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Attention! Natumbua mchango wenu ndg. Sniper pamoja na Baba Mtu itakuwa si vyema kama sitawashukuru, in a special way i would like to say thanks a lots for your sober contribution.
   
 7. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I hope itakuwa imesolve tatizo lako. Au kanyongeza. Alt+PrintScrn itacopy sehemu iliyochaguliwa tu, na kuacha mazagazaga mengine.
   
Loading...