Airtel Internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel Internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Cowboy, Apr 23, 2011.

 1. Cowboy

  Cowboy Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Je ni kweli kwamba unaweza kusurf siku nzima kwa modem za airtel kwa sh 500 tu??
   
 2. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huenda itakua ni kwny simu ya kiganjani. ila kwa modem nakushauri ya Zantel ni bomba kwani wamepunguza gharama eg 10000Tshs @ 500 MB na 40000 @ 2GB
   
 3. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata kwa modem ya Airtel unapata mb 400 kwa tshs 2500
   
 4. mazd

  mazd Senior Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Modem ya ARTEL na Simu yako ni sawa tu---20MB per day, call 100 for more
   
 5. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wana different bundles kutegemeana na mahitaji yako ila hauwezi ukasurf kwa sh500 siku nzima.. natumia tigo ya sh450 naunganisha na Huawei Ideos Tithering yani napata internet both kwenye laptop na kwenye Phone kawaida kama unaweza ukafanya hvyo inakua ni XXXtra cheap kuliko wengine wote
   
 6. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hapo sijakupata vizuri naomba ufafanuzi zaidi nielewe
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  airtel vocha ya shilling 500 ukibadili kuwa bundle unapewa mb20, na inaexpire baada ya masaa24. ukitumia mfululizo bila kudownload mafile unaweza ukatumia masaa mawili. hii naongelea kwa wenye computer.
   
 8. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa internet wa Voda na hivi karibuni Zantel. Hayo mambo ya kutumia elfu 5 kwenye voice calls unapounganisha na highlife ya Zantel yamenifanya nishindwe kutumia huduma yao, naulizia bei za modem za airtel (na Voda, maana ya kwanza niliigawa) kwa sasa.
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Airtel ni reasonable zaidi so far
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Voda essentially ni 1,000 kwa siku ukichukua bundle ya mwezi mzima unlimited.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hizo 2gb unaweza kuzipata kwa 12,500 na hiyo ya 500mb unaweza kupata kwa Tzs 3000 kama unatumia Airtel...
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siku hizi speed yao hovyo mno hasa unapokuwa unatumia bundle...
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tzs 60,000 unapata modem na bundle ya 8gb, hiyo bei ni mwaka jana sijajua kama nao wamepunguza...
   
 14. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa ukwel tigo ndio wapo speed kuliko mitandao yote..na ukinunua buddle ya 450 ni unlimited ambao wanasema kuwa tigo cyo unlimited download wanipm niwape maujanja,maana nikiweka hapa watashtukia.
   
 15. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu
   
 16. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sasa zinauzwa kwa tsh 52600 ukiisajili unapata 3gb zitakazo2mika ndani ya ck 7.
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mi naona mnanichanganya tu sipati picha live. Hebu tupeni mchanganuo wa makampuni yote tujue pa kukamata penye urahisi zaidi mimi mpaka sasa natumia Airtel ya 2500 ya 400mb
   
 18. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #18
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Dio nimeshaku-pm unipe maujanja hujajibu tusaidie basi mbona kina Calvin Power, drphone, ccairtel wao wanmwaga vitu hadharani, nani atakushtaki km kuchakachua sasa modem yao ya HUAWEI inabeba line zote kasoro usibadili IMEI
  hebu tusaidie
   
 19. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kama umejiunga na light day ya tigo, ukimaliza tu 20mb unapata sms kuwa 'you have now used 20mb ...speed will be changed'
   
 20. c

  cathreen Member

  #20
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kutumia modem unaweza kununu kifurushi(bandle) cha mb 20 kinachoisha baada ya mass 24 ila inategemea na juhudi zako za kutumia km unatumia sana unawezakushangaa mb 20 zimeisha kabla ya masaa 24 na km hutumii sana unaweza ikabaki hata baada ya mass 24 kwisha ila ndo hutoweza kuitumia tena mkwani deadkine inakuwa imefika
   
Loading...