Fursa i ya ict inayosubili kutumika - video /audio streaming -2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fursa i ya ict inayosubili kutumika - video /audio streaming -2

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Apr 19, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wiki chache zilizopita niliandika Sekta ya elimu inaweza kufanya nini kufukia mashimo katika uzi huu https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/124716-kutumia-ict-kutatua-matatizo-halisi-ya-jamii.html

  Leo naongela video streaming na kutolea mfano ni vipi taaaisis mbali mbali zinaweza kutumia kunufaika kwa kujitangza.

  Kuna tovuti kama Justin.tv - Streaming live video broadcasts for everyone , http://www.ustream.tv , ZONEIN - Free Live Video Streaming

  Watu binafsi au tasisis mbali mbali hasa nchi za nje zinatumia tovuti hizi kuwafikia watu.Lakini kwa tanzania na afrika sio taaasisi wala watu tumeweza kutumia fursa hizi za bure. Wanasiasa na wabunge wachache wameweza kutumia fursa hizi kwa kuweka habair na video zao za matukio mbali mbali. Lakini kw nini taasisi za serikali ziko nyuma ?


  Nini faida zake?


  • Ni bure

  • zina watazamaji wengi wa mataifa mbali mbali
  Nani anatakiwa kutumia fusra hii?
  Mtazamao wangu ni Wizara kama ya utalii hata makampuni binafsi yanaweza kutumia fusra hizi kujitangaza na kumrpomote huduma au utalii wetu.
  Vile vile mashirika ya utangazaji.BBC walitumia audio streaming ya usteam.tv kutangaza moja kwa moja uchaguzi wa
  Tanzania. Je TBC walishindwa nini?

  Nimekuwa mkosoaji mkuuu wa TBC mashirika ya televison hapa tanzania sabbau wanshindwa kuwa na channel hata ya offline news Youtube. Ni aibu kwa kweli kwa wataalmu wa ICT waliopo pale. Mtu wa aliye nje ya nchi akitaka kujua taarifa ya habari ya tanzania Aende wapi ?

  So wataalamu wa ICT tulio katika mashirika kama haya tuwaambie na tuwashauri viongozi wetu Youtube, ustream, Justin.vt sio kwa ajili ya movie tu au michezo au miziki tu.

  Tuwaambie hizi ni fursa zinazubiri kutumiwa.Haziitaji java wala C++. Just kufungua ccount na kuuupload taarifa.

  Tuendelee na mjadala

  • Je mashirika makampuni au watu gani wanaweza kunufaiika na huduma ya video/Audio streaming ?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  GOOGLE MAP- UNUTILISED/UNKN0WN OPPRTUNITY - 3


  katika tovuti ya ya bbc nimesoma makala moja inayoleza viongozi wa nchi au miji mbali wanavyotambua fursa za Ki ICT. specicifcally makala inahusu brazil mji wa riodejenairo na matumizi ya googglemap.

  Soma makala nzima hapa BBC News - Google to amend Rio maps over Brazil favela complaints . Hapa tunaona jinsi viongozi wanavyotambua mchango wa hii fursa ya googlemap kwenye sekta ya na hivyo kupendekeza ukusanyaji wa data tofauti au zaidi unaoweza kukuza zaidi utalii wa maeneo yao

  Je mameya wetu wa majiji kama arusha,mwanza singida etc au vongozi wa utalii wa wizara ,wilaya na mikoa wamewai au wanachungulia google map kuona kama kuna taarifa sahihi za vivutio na maeneo yao?


  • Je mameya wa miji namajiji meya wa mji wanafahamu googlemap inaoyeshaje dunia jiji au mji wake ulivyo.? Je wameridhika na detail zake.
  • Je wizara ya utalii imerizika na detail zinazoonzyeshwa google map juu ya vivutio vya tanzania . Hakuna marekebisho au nyngeza inayotakiwa ?
   
Loading...