Nmb mobile

Davies_007

Member
Apr 22, 2010
59
0
Wazee Habari za Pasaka, Nimepata Tatizo Kidogo Kama Ifuatavyo:
Mimi Ni mteja wa Nmb sasa Nilikuwa Naongeza Salio Kwenye simu yangu Kupitia Nmb Mobile Tatizo Ni kwamba Credit Hazijaingia kwenye simu yangu na pesa Kwenye Acount yangu Zimekatwa, sasa Naomba msaada wa Namba za Costomers Care wa Nmb Tafadhari kwa Mtu yoyote aliekuwa na namba hizo
 
How to join NMB mobile

1. Dial *150*66*123#

2. Select your language (Swahili or English)

3. Identify yourself by entering your Account Number and thereafter you will be asked to enter last five digits of your ATM card plus your ATM PIN number

4. Select your new NMB mobile PIN (your own choice) and re-confirm

5. That's it – you're ready to use NMB mobile! Dial *150*66# to start banking immediately!

For inquiries on NMB mobile please contact call center on (mobile) 15566 or (landline) 022 2161500.
 
hlo tatizo ni kubwa sana hasa kama unatumia line ya voda, jamaa wanajifanya wanapunguza gharama za mawasiliano ila upande mwingine wanatuibia kwa nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom