Masomo ya ICT kwa njia ya mbali(Distance learning kwa ICT)

Masomo ya ICT kwa njia ya mbali(Distance learning kwa ICT)

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
wakubwa.Tanzania hakuna chuo kinachotoa mafunzo ya ICT au IT kwa njia ya computer kwa grade ya cheti,diploma nk

kama unakijua ebu niwekee.

chuo kikuu huria wapo wanafundisha basic kwa computer tu.Lakini visiwe vyuo vya mitaani

nitashukuru nikiwekewa na link ya hicho chuo
 
Back
Top Bottom