Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 322
Ndugu zangu ama kweli dunia imebadilika. Sasa unaweza kununua computer 1 katika radio station yako, ukaajiri na watangazaji wasiozidi 3 pamoja na mtaalamu wa kumonitor software ya utangazaji. Sasa kuna software nyingi sana zinazoweza kutangaza zenyewe masaa 24 siku saba za wiki, mwezi na hata miaka. Ukigenerete log ya miaka miwili kama una backup system nzuri ya umeme nenda ukafanye kazi zingine itaendelea yenyewe. Unahitaji tu mtu wa kuproduce matangazo na vipindi na kuviingiza katika computer. zipo software nyingi kama Tune Tracker Pro, google radio automation, playlist automation, zera na nyingine kibao.
Kama unauhitaji huu ni PM tutengeneze dill.
Kama unauhitaji huu ni PM tutengeneze dill.