Wandugu wa it naomba ushauri kwa wakali walioweza ku-unlock airtel modem

TRACE

Senior Member
Jul 4, 2008
120
46
Nimejaribu ku-unlock Airtel Modem kwa utaratibu kama wa modem za Tigo nikapata Un-Lock errors naombeni msaada wenu.Natanguliza shukrani
 
nimejaribu kuunlock moja ikiwa na sim card ya Vodacom ikakubali na ikapandisha network vizuri lakini baadae nikagundua kwamba haikubali tena simcard ya airtell, nimeupdate firmware lakini bado iko na tatizo lile lile mwishowe nimeambua kuirudisha sasa inatumia line yake ya airtell kawaida, kazi yote hii nilikuwa natumia Sola GSM
 
kama una tumia zte k3570-z .download win-ZTEDr_v1.01.16 zip na connection_manager_generic_EN_DE zip ukisha download uninstall ile software ya voda moderm .boot mashine afu install hizo program hapo.ukisha install fungua connecton manager uliyo install bonyeza settings APN weka :internet
Dial # weka:*99#
apply .then weka moderm yako na line yoyyote ita initialize then press connect...nime jaribu its working na kila line za gsm:plane:
 
repost..i guec moderators hawako strict.n guys please do check b4 posting.
 
kama una tumia zte k3570-z .download win-ZTEDr_v1.01.16 zip na connection_manager_generic_EN_DE zip ukisha download uninstall ile software ya voda moderm .boot mashine afu install hizo program hapo.ukisha install fungua connecton manager uliyo install bonyeza settings APN weka :internet
Dial # weka:*99#
apply .then weka moderm yako na line yoyyote ita initialize then press connect...nime jaribu its working na kila line za gsm:plane:

2wekee d/links zake tafgmgali
 
mkuu nami nataka kuchakachua zte voda moderm kama uliyosema. Pls naomba msaada zaidi maana hapo sijakupata kabisa!
 
Back
Top Bottom