Msaada hivi program ya Final Cut Pro 7 ni kwa compute za Mac tosh pekee ?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
nimeongea na mdau mmoja wa arusha yuko humu JF ni mtalam wa hii kitu,anasema kuwa hiyo programe ni kwa computer za MAC tu ambazo si nyingi9 kwa nchi kama za kwetu.

Hii ni kweli au nifanyeje,programme ninayo mkononi lakini haifanyi kwenye DELL nifanyeje.

Hii ni programme ya video editing

nitashukuru
 
yes. final cut pro inafanya kazi kwenye MAC computers. Ila kwenye compyuta za PC zipo editing software kibao (ie. ADOBE PREMIER ELEMENTS 9, iMOVIE, WINDOWS LIVE MOVIE MAKER, JAY CUT etc). Ila katika industry ya film/video editing, computers za MAC ni maarufu sana katika kazi ya ku-edit. Moja ya sababu ambazo inafanya PC(IBM) isiwe maarufu katika suala la ku-edit ni: iko-slow sana katika capturing, rendering, poor in real time EDITING CAPABILITIES, na pia PC huwa ina-crash sana wakati wa editing. Pia virus ina-affect sana PCs.
 
ILA UKITUMIA FINAL CUT PRO 7 UTA-ENJOY SANA KATIKA VIDEO EDITING. INA FEATURES NYINGI SANA. NA SASA HIVI FINAL CUT PRO 7 IMETOLEWA NA INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA ADOBE SOFTWARE ZOTE (i.e inDESIGN CS5, PHOTOSHOP CS5 na ILLUSTRATOR CS5). Jikunje ununue MAC utaifirahia.
 
na kwanini una-edit?..wateja tunataka kitu-raw, kitu soo fresh so clean as new as virgin thing. ACHA KUEDIT VIDEO.... TUPE KITU FRESH WALAJI WA KAZI ZAKO BANAAA... ni maoni tuu
 
ILA UKITUMIA FINAL CUT PRO 7 UTA-ENJOY SANA KATIKA VIDEO EDITING. INA FEATURES NYINGI SANA. NA SASA HIVI FINAL CUT PRO 7 IMETOLEWA NA INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA ADOBE SOFTWARE ZOTE (i.e inDESIGN CS5, PHOTOSHOP CS5 na ILLUSTRATOR CS5). Jikunje ununue MAC utaifirahia.

nipo dasalamu...nitapata wapi hiyo MAC-IN-TOSH na mie ni-furahie na inauzwa tshs ngapi?
 
ILA UKITUMIA FINAL CUT PRO 7 UTA-ENJOY SANA KATIKA VIDEO EDITING. INA FEATURES NYINGI SANA. NA SASA HIVI FINAL CUT PRO 7 IMETOLEWA NA INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA ADOBE SOFTWARE ZOTE (i.e inDESIGN CS5, PHOTOSHOP CS5 na ILLUSTRATOR CS5). Jikunje ununue MAC utaifirahia.

Kuna njia ya kunistall MAc OS kwenye pC kama una level ya medim to advanced Pc usage. Ukitumia google vizuri unaweza kufanikiwa kuwa na mac OS bila ya kununua mac hardware. Pia kuna jamaa anaitwa kimokole amewahi kuandika jinsi ya kuinstall snow leopard kwenye pc. Search thread ya kimoole kwenye jukwaa hili utapata useful information

Vile vile kuna mifano ya trciks na hacks unaweza kusioma kwa ku google na kuifanyia kazi. sijui Laptop au computer yako ina specification gani.. badhi ya wataalama wanasema hivi-

ukitaka na mac OS kama una bandwidth ya kutosha unaweza kuikaamata sehemu mbali mbali kama Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site

Alternatively

Kama kazi ya kuhack OS itakuwa kubwa basi tafuta software inatwa Premiere Pro. nadhani hiyo ni kama version ya Final cut pro kwenye windows source http://uk.answers.yahoo.com/question/index?qid=20100727083842AA1albU

:help:ed?
 
kama uko dar kuna duka la MAC pale shoppers plaza. na pia kuna mac dealer wanaitwa ELITE COMPUTERS wana ofisi karibu na Olympio primary school. Mie napenda kununua kitu NEW. Sipendi USED when it comes to computers! Bei ya new inaanzia $ 1999 hadi $ 2999.
 
yes. final cut pro inafanya kazi kwenye MAC computers. Ila kwenye compyuta za PC zipo editing software kibao (ie. ADOBE PREMIER ELEMENTS 9, iMOVIE, WINDOWS LIVE MOVIE MAKER, JAY CUT etc). Ila katika industry ya film/video editing, computers za MAC ni maarufu sana katika kazi ya ku-edit. Moja ya sababu ambazo inafanya PC(IBM) isiwe maarufu katika suala la ku-edit ni: iko-slow sana katika capturing, rendering, poor in real time EDITING CAPABILITIES, na pia PC huwa ina-crash sana wakati wa editing. Pia virus ina-affect sana PCs.

This is a myth, you can get much better hardware on PC for the same price.
 
kama uko dar kuna duka la MAC pale shoppers plaza. na pia kuna mac dealer wanaitwa ELITE COMPUTERS wana ofisi karibu na Olympio primary school. Mie napenda kununua kitu NEW. Sipendi USED when it comes to computers! Bei ya new inaanzia $ 1999 hadi $ 2999.

KAKA HAPO KAZI IPO....USD 1999 APROX 2000 X 1550TSHS=TSH 3,100,000/=
NA HII NDO SOO ZAIDI.. USD 2999 APROX 3000 X 1550TSH = TSH 4,650,000/= kibongobongo hapa mtaani kwetu unaheshimika mkuu...si una-paki ccm ki-vitz chako used cha dubei ulichonunulia zanzibar..heshma tosha
parefu sana kaka mpaka naogopa... thanx for ushauri na msaada wa majibu ya maswali yangu
 
Mkuu, kuhack PC na ukatia Mac OS haitokua solution mzuri kama kununua Mac Hardware!! Coz Combination ya Apple Machine(MAC) na Final Cut Pro 7 ndio itameki your editing iwe simple and flexible---LAKINI MBONA ADOBE PREMIERE PRO CS ni BOMBA KWA EDITING PC YAKO, ILA USIWE UNATUMIA PC HIYO HIYO KWA MAKARATEE YOTE, UTAMEKI KIWANDA CHA VIRUS.LOL!!
 
hata sony vegas platinum ni nzuri2 bora uwe na vga nzuri na ram ya kutosha
 
Back
Top Bottom