Wadau hivi km nikidownload software au application yoyote kwakutumia simu halafu nikaisave kwenye memory card ya simu je nikiihamishia kwenye computa itafanya kazi?mfano antivirus ya pc nikadownload kwakutumia simu,ushauri wakuu
ss kaka hyo kaspesky tool ndo inapatikana kivipi mkuu