kiwi2010
Member
- Nov 30, 2010
- 50
- 11
Ndugu zangu nina usb flash 2 ambazo moja inajina Kingstone data traveler 8GB na ya pili inaitwa Sony 8GB.Tatizo lilopo kwenye hizi flash ni kwamba zinaharibu files ambazo zipo kwenye format ya audio,video na software ambazo sio static().Sasa wataalam naomba mnisaidie kutatua tatizo hili kwani nimesha zi format pamoja na kuscan kwa kutumia anti virus tofauti lakini tatizo bado linaendelea.