Nakereka na kukatika mara kwa mara tunaotumia Tigo Intanent

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,271
Nimejiunga na Tigo muda si mrefu baada ya kununua modem yao, kinachonikera ni kuqa mara kwa mara mtandao unakatika yaani una kuwa hauna access. Inabidi kila mara ku click kwenye connect ili kuanza tena, imekuwa kero kwangu mpaka sasa nafikiria kurudi tena Zantel pamoja na matatizo yao ukiwa highlife ya kupiga simu kwa wiki si chini ya Tsh 5000 naona ni bora kwanza una speed kuliko mtandao wa Tigo ambao uko slow na hukatika mara kwa mara
 
hi ki2 ya kukatika mara kwa mara haijanipata kwangu..n mimi natumia tgo modem n their internet..vp u unatumia package gani..Airtel ndiyo ilikuwa inakatika nikiwa na heavy download.The speed ya tgo mbona iko powah..depends na bundle yako uliyoweka.
 
Nimejiunga na Tigo muda si mrefu baada ya kununua modem yao, kinachonikera ni kuqa mara kwa mara mtandao unakatika yaani una kuwa hauna access. Inabidi kila mara ku click kwenye connect ili kuanza tena, imekuwa kero kwangu mpaka sasa nafikiria kurudi tena Zantel pamoja na matatizo yao ukiwa highlife ya kupiga simu kwa wiki si chini ya Tsh 5000 naona ni bora kwanza una speed kuliko mtandao wa Tigo ambao uko slow na hukatika mara kwa mara

Mkuu, usipende kutumia wingi, "tunaotumia Tigo internet" Ni wangapi mnaotumia imewatokea hivyo? mimi nina modem mbili za tigo, moja ipo nyumbani kwenye PC yangu (hii inafanya kazi 24 hrs) na nyingine natembea nayo kwaajili ya laptop yangu, na sijakumbana na tatizo kama la kwako... naweza ku-connect leo ikakaa siku 5 au wiki nzima haija ji-disconnect....
 
probably tatizo lipo kwenye mashine yake au? au yupo shimoni? au eneo lenye interferences? sijui.
 
kwani wewe unakaa wapi inategemea eneo sometime watuwengi wakiwa active ndo hivyo inakuwa kubaatisha
 
Back
Top Bottom