Wakuu hesma yenu tafadhali,
Nina laptop yangu imekataa kabisa kupokea internet service na sijui tatizo nini naomba mwenye utalaamu wa kutegua tatizo anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani

Kama alivyosema Hinx6 maelezo yako ni haba. Je, ni tatizo la siku zote au limeanza hivi karibuni?
a) angalia kama drivers zipo (sijui unatumia OS gani); nenda kwa Device Manager hakikisha Network Adapters zipo kama ni Modem pia ziwepo
b) kama ni tatizo la karibuni (yaani halikuwepo hapo mwanzo na uliweza ku-access internet) then fanya 'System restore'
c) angalia hiyo source yako ya internet (mobile modem, wireless, cable, broadband whatever) just make sure the thingummy does work

Pia naomba unisaidie procedures za system restore ili niende nazo sambamba
Zima computer yako, wakati inawaka kabla ya kuload window press F8 itakuletea boot option, select boot in Safe Mode ikishawaka ingia na account ya admin itakuletea option ya kufanya restore then fuata maelekezo