Nina website ambayo awali nilitumia static html and simple javascripts pages,ikawa inawork vizuri katika Dreamweaver.
Nimejaribu kuongeza baadhi za features na kufanya implementation kwa kutumia JSP tech, katika WSAD na Eclipse , tatizo linalotokea kwa sasa ni kuwa flash file katika header.jsp haiwi displayed, pages nyingine mfano footer.jsp, content.jsp ambazo hazina flash zinawork vizuri katika Tools zote(WSAD au Eclipse).
Naombeni ushauri wenu wataalamu.