Msaada pleas

Msaada pleas

Platnam

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
769
Reaction score
1,239
Wana jamvi,ninatatizo la ku instal baadhi ya software kwenye window 7,nifanye nini?
 
be open,shida ni nini?kuinstall or u need software?
 
Window 7...na Vista zinasumbua sana..Software nyingi hazina compatibility nazo..Tusubiri wataalamu labda wanakambinu mbadala, otherwise uweke window XP (yaani uwe nazo mbili kwa pamoja)
 
subiri kidogo mtazamaji anakuja sasa hivi, hesabu tatizo lako limeisha
 
Window 7...na Vista zinasumbua sana..Software nyingi hazina compatibility nazo..Tusubiri wataalamu labda wanakambinu mbadala, otherwise uweke window XP (yaani uwe nazo mbili kwa pamoja)

fata huu ushauri,hata mimi natumia quickbook lakini ligoma kwenye win7 ikabidi kuinstall xp
 
una genuine windows installed kwenye pc yako au unababaisha? mi natumia windows 7 tena haina shida kabisaaa, au cheki security features za antivirus yako
 
Sawa mkuu,ngoja nijaribu.
 
Yap zipo software ambazo zinakataa kwenye windows 7, lakini nyingi zinakubali zingatia tafuatayo.

Right click software husika kisha nenda troubleshooting compatibility, click then itakuletea recommendation select to install,

Zingine zinataka kuzi run as admin

Tafuta version mpya.

Pia waweza tembelea Windows 7 Compatibility kuona kama ipo compatibility na win7 kwa kuingiza na kusearch hiyo software

Kama vipi zitaje ni software gani zinagoma
 
Back
Top Bottom