0686792949 msaada nawaomba jamani!

0686792949 msaada nawaomba jamani!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
284
Jaman nko katka wakat mgum, hyo namba inanisumbua lakn mmiliki wake smjuw! Tafadhali,mwenye skills za intelijensia, anipe data za hyo namba ni nan na yuko wapi?
 
Inakumbuaje? Fafanua zaidi mkuu.
 
Inakusumbuaje?,wewe ni "he or she?", mhusika anakutongoza au anakutana nini?. Toa maelezo yenye staha ya kujadiliwa na JF.
 
ingekuwa ni tigo au voda ungejifanya unatuma pesa, agent angekuambia unayetaka kumtumia.
 
Niuzie line yako nina kazi nayo pasco mdogo
 
si ungem-block tu? (simu za kichina sijui kama zinaweza kufanya hii)
 
Anaitwa ath..... Mga...... Pia nimekutumia pm jina ikiwa na jina kamili la anaekusumbua.kama nimepatia usisahau ka senkyuuu!
 
kweli kuna watu wanajua kusumbua!mtu anabip tuuuu!ukimpigia hapokei au akipokea haongei!huyo dawa yake ndogo kila akibp pokea!hela zake zikiisha ataacha tuu.
 
Back
Top Bottom