OK hiyo part number imetoa msaada mkubwa sana kwenye ku google. Na hiyo part number ndo msaada wa kupata cable sahihi hata utaapokwenda kutafuta dukunai
Hiyo Minotor inatumia cable ya
DVI na sio VGA standard kwa mujbu wa vyanzo nilivyosoma.
So cabale unayotakiwa kununua ni
DVI to VGA amabayo itakuwa na vichwa kama hii picha inavyoonyesha
Sasa sababu kompyuta na nyiingi display intefaces nyingi zilizopo ni VGA . kama cable uliyonayo ina vichwa vya DVI kote kote . yaani kama hii picha
utahitajika kununua
converter ambayo utapachika kwenye computer ili iweze kuoanisha cable hiyo monitor na computer
DVI to VGA converter yenyewe inakuwa kama hivi
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kuhusu ku attach picha Angalia hapo kwenye unayotumia uandika comment huo msatri wenye
B I U. Ukiendelea kulia zaidi utakuta nembo ya bahasha. Badaa ya nembo ya bahasha kuna nenmbo ambayo uki click unaweza kutumia ku attach image.
Kifupi ukisogeza cursor yako kwenye vinembo unavyoona juu ya kibksi cha kuandika commnet itakumbia kila kinembo kitafanya kazi gani na unaweza kutumia. iwe kua attcha video, code au picha.
Sorro hata kwa kiswahili my first anguage nashindwa kuelezea. vizuri.