Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
Baada ya kufirisika kampuni ya g-tv watu walishindwa kuvitumia tena vyombo hivyo

chizi computer

ukitaka kutoa lock ya g-tv ili upate chanell ambazo una zi control we mwenyewe
password ni hii 1978

kama ikikataa wasiliana na mi

kama una matatizo ya computer
software
hardware
au maulizo - 0712484995

tangazo:unapo ona ina kataa kuna tofauti za DVB za G-TV msiwe wakalli niulize nita wapa njie nyingine
 
Hebu toa maelezo vizuri tukuelewe .Unamaanisha TV gani nyingine? DSTV, au vipi?
 
Niki anza kuandika hapa uta nielewa naeleza kueleza vizuri kwa sauti kuliko kuandika samaani
 
Ndugu yangu kama biashara kuwa muwazi tu na upeleke jukwaa husika la matangazo ya biashara kuwa "unainstall hizo tv nyingine" kwa kiasi gani
 
Niki anza kuandika hapa uta nielewa naeleza kueleza vizuri kwa sauti kuliko kuandika samaani

ulipotea sana mtaalam mwaga tu maujuzi hapa ukumbini tufaidike wengi
Andika kiinjinia injinia hivyo hivyo tutakuelewa
 
Title nzuri sana,
Ila habari imekaa kama kikombe cha babu Loliondo.
Simu hutaweza kupokea zote, itakuwa bize muda wote kama kuna malipo kidogo sema,
Halafu kama hutaki kueleza jinsi ya kufanya basi eleza outcome japo.
solutions can be in many ways, unanunua? unatuunganisha wapi? etc
 
Baada ya kufirisika kampuni ya g-tv watu walishindwa kuvitumia tena vyombo hivyo

chizi computer

ukitaka kutoa lock ku install tv nyengine password hii 1978

kama una matatizo ya computer
software
hardware
au maulizo - 0712484995

Issue ni Computer au GTV?? Maana sijaelewa hapa
 
Hiyo password tulikwishaijaribu siku nyingi mbona huwa inagoma unapoiingiza inakataa inakuambia please input engnearing password??????????
 
Dogo umaharufu auji hivyo!Mwaka jana ulikuwa unapost vitu apa wakati ni uongo tu,as profesional siwezi jiita CHIZI. Kwanza kwenye IT akuna uchizi Komputer zingekuwa na uchizi kama wewe dunia cjui ingekuaje! Dogo ujui kitu so nyamaza
Decoder za dstv (irdeto)decoder za GTV au hizi Gufstar free to air zote ni the same isipokuwa software zilizowekwa ndani ndio zinazifanya ziwe tofauti.
Zipo web site ambazo unaweza download software ambazo unaweza kuformat hizo decoder na kuwa unavyotaka wewe.sasa 1978 yanini? Kama unaitaji shule ktk haya mambo na mambo ya cellphone repair,flat screans ,etc ni Pm nikupe darasa acha kupayuka kijana
 
Niki anza kuandika hapa uta nielewa naeleza kueleza vizuri kwa sauti kuliko kuandika samaani


Hey uwe unaandika kwa lugha unayoielewa kwa ufasaha zaid. Maana hata haujaeleweka ulicho kisema ni kitugani mie nimekuelewa wengine je? Au haufikirii ni kwanini watu wanaponda post zako, japokuwa mie nakukubali kwa maujanja ila tatizo ni lugha yako unayotumia ku-Present maujanja yako ndo inakuangusha.
 
Back
Top Bottom