Zantel mmechemsha tangazo la mshumaa, bora mfikirie upya

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Hawa jamaa kila nikiona yale mabango yao na jinsi wanavyosema ukiwa na zantel kifurushi chako kinatumika taratibu kama mshumaa, nawashangaa sana.

Sasa hapa ina maana speed yao ni ndogo ndio maana kifurushi kinachelewa kuisha,

watumiaji hatuangalii muda wa bundle kuisha, tunaangalia speed na price ya bundle.
 
Labda wanamaanisha package zao haziishi haraka
Yaani utatumia kwa siku nyingi zaidi etc compared to same thingy katika kampuni zingine.
 
True dat.
Sasa kama package zao haziishi haraka wewe unategemea nini?
Si inamaanisha speed inakuwa ndogo, maana kama speed ikiwa kubwa lazima bundle iishe haraka.
 
hapo kaka jaribu kufikiri tena.........wanamaanisha kuwa bundle yako itachelewa kuisha kwa kuwa
price zao ni ndogo....upande wa speed zantel kwa kweli wako vizuri
 
hapo kaka jaribu kufikiri tena.........wanamaanisha kuwa bundle yako itachelewa kuisha kwa kuwa
price zao ni ndogo....upande wa speed zantel kwa kweli wako vizuri

mkuu nafahamu kwamba speed yao sio mbaya, lakini nazunguamzia reality of the concept.

Hapa kuna vitu vitatu, kuna muda wa bundle kuisha, kuna size ya bundle, na kuna speed ya connection.

(price ya bundle itaendana na ukubwa wa bundle, maana bundle ikiwa kubwa then price inaongezeka)

sasa ukituambia bundle inaisha taratiiiiibu, kwa mtu anayefahamu hiyo inamaanisha nini?

Kwa sababu wewe kama speed yako ni kubwa, bundle ya 1gb utaitumia hata kwa 1hour, ila kama speed yako ni ndogo, then hiyo 1gb utatumia hata mwezi mmoja na zaidi.

Hope umenipata, narudia tena, nazungumzia "reality of the concept", na sio kwamba nawaambia kwamba speed yao ni ndogo.
 
tangazo linabidi kuwa full explanatory to all customer according to marketing principles...sasa kama watu wana maswali basi inabidi mwana jf ambaye ni mfanyakazi wa uko zantel atoe maelezo ya kutosha haraka!!!!!!!!!
 
uku wao wakifa mana mshumaa at the end of the day unaisha....tehe tehe...so price ndogo inawaua taratiiiiiiiiiiibu.....crap tangazo!
 
Back
Top Bottom