Adobe imejitokeza kua kampuni iliyoshika hatamu katika sekta ya 2D graphics-walio wengi katik yetu-ukiwatajia "Adobe" wanadhani ni "Photoshop" au "Adobe Reader", but ukweli ni kwamba, adobe ni...
Scientists Discover Rain-Making Bacteria
By John von Radowitz
High-flying bugs in the atmosphere may largely be to blame for bad weather, scientists believe.
Numerous bacteria have been found...
Habari Wanajamii wenzangu,naombeni msaada wa security code Nokia X3-02,nimejaribu kuweka default ya 12345 ila imekataa na simu yenyewe ni mpya,msaada tafadhali.
Nimejaribu kutumia opera version zote bt katika zote hzo yahoo page haifunguki, nifanyeje ili niweze fungua yahoo kwa opera. Simu ninayotumia ni samsung gt e2152. Message inayokuja ni kwamba...
Jamani toka nianze kutumia king'amuzi cha Startmies stations ya channel ten badala ya kusikia sauti ya kipindi husika nasikia matangazo ya radio Magic fm . sasa hata sielewi ni mimi tu au maana...
Sasatel internet modem;goes for tzs 30,000 but i sell mine at tzs 18,000
ttcl internet banjuka modem goes for tzs 29,900 but i sell mine at tzs 18,000
both modems are in good condition and i...
Jamani Naomba Msaada wa hii http://www.biztree.com/Templates/App_Images/Preview3/Business-Plan.swf document iweze kuwa kwenye Microsoft ward Pleas, Nimetumia Ujanja wangu wote nimechemsha
Seventeen lost pyramids are among the buildings identified in a new satellite survey of Egypt.
More than 1,000 tombs and 3,000 ancient settlements were also revealed by looking at infra-red...
Hi, Just sharing this e-book i have tested it's working.
Download an enjoy
Microsoft Office 2010 Bible.pdf (19.07 MB)
MEGAUPLOAD - The leading online storage and file delivery service
keep...
kuna kaujanja kanatumika ktk mtandao mfano una laini yako ya tigo au airtel,kuna jinsi unafanya then unapata internet bure muda wote miaka yote,kama hamjui hiyo siri,ni kwamba ipo!niliwahi muona...
Hivi ni nini sababu ya mitandao mingine ya simu kuanza na speed nzuri ya data katika internet halafu baadaye speed inafifia?
Na je speed ikififia hawana njia ya kufanya ili speed yao iliyoanza...
Kuna sistangu ako iPhone la kichina, sasa amelikorokochoa akajikuta amebadili lugha na kuseti Mandarin. Mara ya kwanza nilibofya kwa kubahatisha nikamrekebishia, sasa nipo mbali nae na yeye hawezi...
Habari wana teknolojia wa jf
Nina pc yangu inanisumbua, Start button is missing,start and taskbar haifunguki, explorer.exe haifunguki lakini naweza kulogon na kufungua data zangu anuai,kingine...
HELOO jf members
Kuna hii kitu inaitwa sonic Wall,Najua ni hardware ambayo inawekwa kwenye gateway for filtering the incoming packets,,
Sasa nahitaji msaada mmoja,je kuna njia yoyote ya kuweza ku...
Member wenzangu najua 2 wazima mie langu leo ni kuhsu voda leo asbh nimegundua kuwa wamebadilisha maandish ya mtandao wanaandika kwa herufi kubwa"VODACOM§ TZ" Na pia wameanza kuuptudate mda(saa)...