Msaada wa Mechanism ya Video Camera ya HDR-HC3E HDV

Msaada wa Mechanism ya Video Camera ya HDR-HC3E HDV

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Wakubwa kamera yangu aina hiyo imeharibika mechanism ,nilipo ni nje ya Dar,mafundi wa hapa wanasema inahitajika mechanism mpya,naweza kuipata wapi.

Aina ya Kamera ni kama hii HDRHC3.jpg
 
Kama ni Sony Dar ipo repair Center yake.karibu na st Joseph Kanisani
 
Back
Top Bottom