Msaada juu ya ITUNES | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada juu ya ITUNES

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bulunga, May 12, 2011.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nilikuwa natafuta msaada wa itune , nilikuwa na itunes , mara siku moja ikawa imefuta miziki yote kwene library, ikawa haifanyi kazi tena , nika down load mpya , lakini kuinstall, ikakataa ina sema old itune can not be un installed , kwa sasa siwezi tena kutumia tena i tunes , wajuzi wa mambo, naomba ushauri
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  ITunes huwa inatoa option ya kuupgrade sijui kwako imekueje mpaka umefikia kuuninstall.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  iTunes moja ya software ovyo kabisa. Unless inabidi uitumie i.e una iPhone, iPod etc ningekushauri kutumie software nyingine jaribu Winamp au Media Monkey.

  Anyway jaribu ushauri huu kuitoa, nadhani ni kama una XP.
  Unable to update, uninstall, or install software due to missing file - Geeks to Go Forums
   
Loading...