Wataalamu wa Teknohama, naombeni msaada wenu katika VB 6.0, ninataka kudevelop program flani hivi.
Sasa nataka mnisaidie codes za kwenye Login Form, kwa kutumia maelezo yafuatayo:-
1. Nina user kama 50 hivi watakao tumia hii program, nataka waweze ku-log in kila mtu kwa kutumia User Name yake na Password yake tofauti na mwingine.
2. Hivyo nahitaji msaada wa ku-link database yenye majina ya hao User 50 na Login in form ya kwenye VB 6.0. Database inaweza kuwa Access au SQL yoyote ile. Ikiwa SQL itakuwa poa zaidi.
Kwa yoyote mwenye idea, please pass that idea to me.
Na attach picha ya Sample Login Form yagu kwa more details.
Asanteni sana.