KIPANYA Member Joined Jan 3, 2011 Posts 61 Reaction score 2 May 12, 2011 #1 Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 May 12, 2011 #2 Kama uko dar npe no yako kwesho nikupe'
Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 May 12, 2011 #3 Ingia kwenye website ya HP kisha nenda download and support nadhani utaweza kupata hizo drivers sidhani kama zina ukubwa sana...
Ingia kwenye website ya HP kisha nenda download and support nadhani utaweza kupata hizo drivers sidhani kama zina ukubwa sana...
Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 May 12, 2011 #4 KIPANYA said: Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200 Click to expand... Hujasema unataka za OS gani nenda hapa HP LaserJet 1200 Printer series*-* Download drivers and software - HP Business Support Center chagua Os yako pakua driver kisha simika.
KIPANYA said: Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200 Click to expand... Hujasema unataka za OS gani nenda hapa HP LaserJet 1200 Printer series*-* Download drivers and software - HP Business Support Center chagua Os yako pakua driver kisha simika.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,291 May 14, 2011 #5 tuwe na tabia ya kutoa feedback jamani kuokoleana muda, vp mkuu umefanikiwa???
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 May 14, 2011 #6 mi natafuta za hp deskjet 2400