software za windows ni tofauti na others os | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

software za windows ni tofauti na others os

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, May 11, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Jamani mimi toka nimeijua kompyuta kuitumia sasa ninakama miaka 5 hivi, na windows xp ndio os niliyoijua kwanza na juzi juzi tu ndio nimeupgrade kwenda windows 7
  mahali pote nilipo kwenda mimi hapa bongo nilikuta wanatumia windows kama os, iwe maofisini au kwenye cafe.

  Lakini kuna os zingine nazisikia sana humu, binafsi zijawahi kuziona, os kama ubuntu, mac nk ambazo wadau wanazipigia debe kuwa ni nzuri na bure kabisa na kushauri kwanini gvt isitumie maofisini na kuachana na os za windows zinazo icost nchi,

  Nisicho jua mimi kuhusu hizi os zingine ni je software za kwenye windows haziwezi kutumika katika os ya lets say ubuntu nk?
  inamaana ubuntu wanakuwa na office yao, idm,firefox,opera,tally, games,powerDvD and whatever u can mention it.
  au kuna baadhi ya software zinaingiliana?

  je hizo os zingine zinanafasi gani kwa wenzetu maana hapa bongo bado ni msamiati kwa wengi,namaanisha zina compete vipi na windows au zinachukuliwa kama basi tu, ratio ikoje kwa user, windows vs others.

  Maana pc nyingi zinazokuja mpya zinakuwa shipped au na windows xp,vista au 7..nasikia na mac au zipo na za ubuntu,
  nawasilisha
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Software za Windows hazirun kwenye Linux/Mac and vice-versa kuna baadhi ya software za Windows zinaweza kurun kwa kutumia emulators au similar kama Wine http://en.wikipedia.org/wiki/Wine_(software).

  Windows ina kama 90% market share kwenye operating system za kompyuta, so ni duniani kote inatamba sio bongo tu. Inafuatwa na Mac ambayo ina kama 7-10% kisha Linux the rest, tena Linux ziko kama mia so Ubuntu ni chini ya 1% nadhani.

  Hakuna Office ya Linux ila kuna alternatives., game karibia zote hakuna, market share yake ni ndogo sana haina soko.
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ndugu, kitu kama Linux especially ubuntu iko pouwa lakini inahitaji utaalamu kidogo kwenye kuitumia, mtu wa window ukimpa system ya linux hata kufungua browser inaweza kuwa ngumu kwake. Ila ukiijua ina-perform everything that window can do
  On top of tht, linux imesheheni masoftware kibao na yana majina tofauti, media players ni tofauti, burning program ni tofauti, office zake ni tofauti...bt all zinafanya kazi moja. Ma-analyst wa ulimwengu wanadai mwaka 2014 ni mwaka wa linux, kwa maana kwamba linux ita-dominate windows OS. Hii ni according to google search.


  Nadhani uki-google utalearn lots on linux
   
 4. m

  mja JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  na kwa sababu linux ni feee, unaweza download na ku-install on top of your windows, kisha ukajaribu na kuona how it tests, unaweza ku partition machine yako kwa kutukumia EASEUS Partition Master amabyo ni kama partition magic, una partition hardisk bila kuharibu windows yako, kisha hiyo free space utakayopata una-install ubuntu (kwa mfano) na unaweza ku google all the altenative software unazotumia ktk windows, e.g offce, cd bunners, browsers etc
   
 5. mazd

  mazd Senior Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu kua kuna baadhi ya software zina run kotekote mfano--"Java Based Software"--na many other cross-platform Software like "Blender" ,"OpenOffice.ORG"
  Kinachoifanya Windows iwe juu ni kua karibu asilimia 50% ya watumiaji wa Windows-hainunui windows bali wanakopiana tuuu--ila iwapo Micrsoft watakuja kuanza ile azima yao ya kamata kamata maofisini--walala hoi wote tutahamia LINUX taka tusitake--na GVT natumia Windows kwa sababu watumiaji wenyewe ndo sisi utulianzia na PC za fichakani---"Get what am say?"---So mkuu anza kutifunza Linux ili kuokoa kibarua chako.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hii 90 % ya soko nadhani sio mchangamamnuo sahihi.

  Kwanza kama ni 90% kweli basi ni kwenye desktop enviroment. Mfano kwenye webserver nahakika windows IIS inaaachwa mbali tu na Linux Apache.

  Pili kwenye desktop/client enviroment kuna watu sambamba na window wanatumia oS za linux kama Ubuntu backtrack etc


  Os kama ubuntu ni nzuri lakini interface (GUI)yake bado haiko njema kama ya ya windws au MAC. Na kwa end user inteface kama ya ubuntu inaweza kufanay mtu kazi aliyofanya kwa dk 5 kwenye windows atumie dk 10 kwenye ubuntu. Kama alivyosema jamaa LInux ina kazi zake fulani inayofanya vizuri zaidi. Zadi ya advantage kuvwa ni free .

  Ukija kwenye quality ya mambo ya graphics na media Ubuntu sio nzuri sana kama windows na OS lakini ukija kwenye kujifunza detailed knowledge ya mambo ya network , security na hacking ohhh what you need is linux os like ubuntu na backtrack

   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  kama ulikuwepo kwa kichwa changu, hivi ndio nataka kufanya ingawa kufanya patrition kunanizingua kidogo

  Nimekupa mkuu, kwa kuanza nataka niweke dual bootable ubuntu na windows yangu, unaonaje hapo.

  Nasikia mac inakuja na pc zake kabisa.
   
 8. mazd

  mazd Senior Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama uko na enough diskspace ni jambo jema-kwani utakua unaiadapti polepole huku unahama katika windows polepole pia--Linux Bwana we acha tuu--yani kwa sisi watu wa production tuna render edited video shots sequences to complete video faster than in any OS--Mac achana nao mkuu, watakusumbua coz unatakiwa uwe na Hardware yao(Mac PC) na ukisema ulazimishe katika PC yako ya kawaida-utakua unafaidi enviroment ya mac tuu na wala sio power ya mac. ni kama kutia theme ya mac katika windows.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hauhitaji kupartition kuinstall Ubuntu, unaweza kuiinstall kama program ya kawaida, kisha ukichoka unai-unstill kwenye add/remove kama software yoyote.
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu huwa mnatoa training hapo chuoni kwenu???
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  eeh hii mpya..hembu fafanua kidogo mkuu ''kang''...inakuwaje hapa,yaani unaistall katika window halafu unaitumia??
   
 12. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hiyo aliyosema inawezakana ubuntu inakuwa installed kama program yaani within windows. option hii sio lazima ufanye partition. lakini at the expense of perfomance ingawa sio mbaya sana.

  Yaani kuna optin mbili

  • installing ubuntu withor alonside windows utahitaji kufanya partition ili buntu iwe na patition na file system yake
  • Installing ubuntu within windows. Hii no need of partition. ubuntu inakuwa installed on top of windows file system.
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Unaiinstall katika Windows kama program yoyote ile, kisha inajiweka kwenye Boot Menu, utakapo restart PC kutakuwa na option ya kuboot Ubuntu au Windows.
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nimewasoma ''zing na kang''...hii ni mpya kwangu..am goin to try..vp majina na ideaz zenu zinaendana..vp mna uhusiano wowote bandugu?? halafu wote mmejiunga tarehe na mwezi mmoja{24th June}...just tofauti ya mwaka!! m-meligundua hili??

  Shukrani sana
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Aiseeee !!!! SIkuwai kuona hilo ila wewe Id yako na yangu ndo zina undugu
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu nimetembelea website ya ubuntu Download | Ubuntu nimekuta hii maneno ipo kweli, lakini mara zote na ktk site zingine naona wana refer windows vista, inawezekana na kwa windows 7?

  Je kwa staili hii iwapo windows itashambuliwa na virus na ku corrupt inamaana ubuntu nayo itakwenda na maji nikiformat?
   
 17. i411

  i411 JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  mimi nimehama kwa windows os kabisaa sasa natumia mac os kila kitu kinafanya kazi vile kinavyotakiwa. My last window 7 ilikuwa kama inarun ant virus tuu pekeyake na kufanya komputer nzima kuchanganyikiwa, fani kufanya kazi kupindukia na maprogram kuwa slow na nyingine ku freeze. muda mwingi nilikuwa na poteza kuristart computer alafu ma update bila mpango. sirudi tena kwa windos os, mac os mambo yake shwari inawaka mapema na kuzima in instant. Alafu hakuna mambo ya antvirus ikienda kwa mac os na linux because of the way the linux system is design and fewer of their users numbers.
   
 18. mazd

  mazd Senior Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapana-hatufundishi how to use LINUX, coz majukumu ni mengi ila tuna fanya installation/repairing tuu--But you may ask me some question about LINUX.
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hehe labda nilim-inspire!
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Inafanya on Win 7, mimi natumia.

  Yes ukiformat kila kitu kitaondoka, maana Ubuntu inatengeneza file ndani ya Windows ambayo inatumika kama virtual HD, ukifuta hiyo file unakuwa kama umeiondioa HD ya Ubuntu.

  Lakini Ubuntu inafanya kazi hata kama Windows haifanyi, ili mradi hiyo file ya Ubuntu iwe salama.
   
Loading...