Naomba msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SG8, May 12, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba msaade kwa haya yafuatayo
  1. Wakati na access mtandao wa Jamii forums bahati mbaya bila kujua nilipunguza size ya maandishi na window. Leo tena nikiwa facebook nimefanya hivo bila kujua. So ninapofungua page hizo font size ni ndogo inaweza kuwa 6 hivi au 8. Nifanyeje kuirudisha kwenye normal? Wengine teknolojia zinatusumbua kidogo. Laptop yangu ni Accer.
  2. King'amuzi changu cha Startimes nilihama nacho toka Dar kuja Mbeya na huku hakifanyi kazi. Ni8fanyeje hasa kwani jamaa wa Startimes hapa Mbeya hawako serious, hawajanisaidia chochote kwa wiki sasa.
  Plz naomba msaada
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,576
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  unatumia browser gani na version gani? na fonts kuwa ndogo ni jf na fb tu au website zote? khs startimes angalia taa ya kijani kama inawaka ktk king'amuzi chako otherwise ni poor signal inabidi utumie external antenna
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Shika button ya Ctrl kisha bonyeza 0 (sifuri)

  Au tafuta sehemu ya zoom kwenye browser yako, rudisha 100%
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh, JF kiboko. Nashukuru sana Mkuu nimefanikiwa. Be blessed. Thanx alot
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Natumia Mozilla Firefox lakini nimepata suluhisho. kuhusu Startimes tatizo ni namna ya kubadili code namba toka Dar kuja Mbeya naambiwa kunatakiwa kuchange, ndipo tatizo lilipo na hawa jamaa inaonekana sio prority yao kwa sisi tuliokuwa navyo tangu zamani
   
Loading...