Backup Software: Msaada jamani nduguzangu nimekwama mwenzenu

Backup Software: Msaada jamani nduguzangu nimekwama mwenzenu

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,844
Reaction score
236
PLEASE NAITAJI MNIKWAMUE KWA HILI NAHITAJI SOFTWARE INAITWA SMART SYNC,
ni kwa ajili ya kufanyia buckup kwenye mashine yangu kwenda server ni. please na kama kuna mtu anayosoft ware engine anaweza nisaidia kwa shughuri hiyo ya bukup.

Natanguliza heshima.
 
Hiyo software ulikuwa unatumia kufanya Backup ya aina gani? application gani?na kwenye OS gani.

Hata windows unaweza kuitumia NTbackup kuandika batch file ikafanya back up ya vitu mbali mbali .ukienda kwenye assesories then kwenye sheduled task. ndo mambo yoteinaweza fanyka hapo

Mfano soma hapa Scheduling Backup Jobs with Windows Backup (NTBACKUP)
 
Back
Top Bottom