OCP oracle 10g examination | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OCP oracle 10g examination

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Firdous, Mar 12, 2010.

 1. F

  Firdous Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimemalaiza shahada yangu ya ICT , kwa sasa nataka nijendeleze zaidi kwenye prof. courses, natamani niwe na OCP kwa kuanzia, nimesoma na ninaelewa oracle 10g Administration part huko kenya.

  Nataka nifanye mitihani ya OCP hapa TZ, ni chuo gani ambacho kinasifika kwa kutoa elimu nzuri na ninaweza kufanya mitihani hiyo

  Vipi inawezekana kufanya kwa muda wa wiki moja nikawa nimemaliza mitihani yote mitatu

  Kwa wanaojua naomba msaada wenu tafadhali.
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ebu m-pm shy au nenda kaweke swali lako Afro it forum.sasa kama ulisoma kenye kwanini na paper hukufanya huko huko?
   
 3. F

  Firdous Member

  #3
  Mar 15, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu

  Niligundua kuwa hicho chuo kumbe hakitambuliki na Oracle university. na pia muda wangu wa kurudi nyumbai ulikuwa umeshawadia . kabla sijajitayarisha na mitihani hiyo. Ila kwa sasa nahisi naweza kufanya kwani nimeshajitayarisha vya kutosha
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Bado wataka kufanya hizi paper arifu?
   
 5. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  utakapofanyia paper hamna haja ya kuchagua sana kwani paper zinatoka huko oracle, nakushauri kama nikufanya paper nenda pale aptech utafanya fresh ila make sure uko fit
   
 6. S

  Slm Senior Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu tupo pamoja na mimi nataka kufanya hiyo mitihani lakini sijui nianzie wapi
   
Loading...