Habari wakuu?
mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net kuji-disconnect mara kwa mara na unapo jaribuku-dial-connection tena ina goma na kuleta error 619,ikidai port inatumika na imefungwa, hivyo nalazimika kusubiri dakika 5/10 iliniweze kuunganisha tena huduma hii... je ni mtandao wa tigo uko busy au umelemewa na wateja? au ndio mambo ya mvua na network kimeo?
Sehemu niliyoko napata full 3G network.
naomba maoni yenu kama kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili.