HP kufungua kiwanda Tanzania

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.

Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.
 
Mkuu kwani kuzungumza ndio kufungua? Kwanini wafungue Tanzania? Kwani kuna walaji wakubwa wa bidhaa zao hapa Tz? Kuna cheap labour iliyosoma inayopatikana kirahisi hapa kwetu? Tusijifariji tu. Labda alikuwa anaomba msaada.
 
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.

Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.

kichwa cha habari na yaliyomo haviendani kabisa.

Sahau HP kufungua kiwanda tanzania. hata service center hawana wanatumia third party. namna gani vipi peleka hii habri kwenye siasa au chitchat
 
i was so xcited wen i read the header!...waache kwnda SA au CHINA waje hku!may b in dreams!
 
Seriously Wakuu,hata mm nimemsikia Jakaya kupitia Tbc akiteta na Afisa Mzito wa HP kwenye taarifa yao ya habari asubuhi!!
 
Hao cheap labour wenyewe hakuna hata service centre hakuna hizo ni ndoto!
 
jamani msiwe so close minded, naposema kufungua namaanisha ni on planing proces dats why ktk detail nilizotoa nimesema, wamefanya mazungumzo na mmiliki wa kampuni hyo na kutoa hyo plan ya kufungua kiwanda. So its a plan na kama wametamka kutaka kufungua hapa wats the problem.
 
Wewe hakuna kitu kama hicho. Sema wanafanya mazumngumzo mengine

Strategic planning za kampuni makini wanajua wataivest wapi five years to come. Huko na JK wanapiga story tu.

Hivi unasema mmiliki au muwakilishi wa HP EMEA. I cant see even mmmiliki wa HP anakuja eti kuongelea uwekezaji Tanzania tena wa kiwanda

Akija sana sana ni kutoa misaaada ya ma server amabayo hawatumii tena
 
zing, unachobisha nikipi, nadhani hujui wat hapened ths week in south africa. It was an economic forum ambayo makampuni mbalimbali na nchi zote duniani walikutana na kujadili njia za kukuza uchumi wa nchi zao. And thats were jk aka meet na uongozi wa HP na kumpa mkakati wao wakutaka kupanua zaidi wigo wa kampuni yao mpaka tanzania na kufanya tanzania kuwa base ya products zao kwa kufungua kiwanda cha kuzalisha bidhaa zao hapa na spare parts zake.

Na hii plan sio kama Jk ameomba, wao ndio wametoa hyo proposa na jk amewakaribisha.
 
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.

Tusubiri maendeleo toka kwa muwekezaji huyo. Nadhani Tanzania inaelekea kuzuri kwenye upande wa teknolojia.

Kikwete atawaambia jamaa waje kupick watoto IFM na Tumaini, na kisha atawaambia kiwanda pelekeni KENYA
 
zing, unachobisha nikipi, nadhani hujui wat hapened ths week in south africa. It was an economic forum ambayo makampuni mbalimbali na nchi zote duniani walikutana na kujadili njia za kukuza uchumi wa nchi zao. And thats were jk aka meet na uongozi wa HP na kumpa mkakati wao wakutaka kupanua zaidi wigo wa kampuni yao mpaka tanzania na kufanya tanzania kuwa base ya products zao kwa kufungua kiwanda cha kuzalisha bidhaa zao hapa na spare parts zake.

Na hii plan sio kama Jk ameomba, wao ndio wametoa hyo proposa na jk amewakaribisha.

Acha kudanganya umma wewe! Yaani HP watoe plan ya kufungua kiwanda halafu kusiwe na habari sehemu yoyote kwenye mtandao?
Ufungue kiwanda nchi haina hata umeme wa uhakika, hao HP wamedata?
 
Wakati mwingine inabidi tuishi kwa matumaini kuwa huenda inaweza kutokea kweli! Sijui kama hiyo ahadi aliyotoa mwakilishi wa HP ilikuwa written zaidi ya kuwa iliibuka kwenye mazungumzo ya kawaida kati ya mheshimiwa rais na mwakilishi wa HP.
Lets wait and see!
 
"Jipe moyo ipo siku utashinda"---Nadhani hata mmoja kati yetu akitokea mtu na kumwambia tammpa 100milions sio vyema kumfukuza na kadhani haiwezekani coz wewe hujawahikuziona na wala huna pakuzihifadhi--ni bora umuitike na na utizame atasema au kufanya nini.
 
mangapi yameahidiwa lakini hayajafanyika?i dont believe this mpaka nione kimefunguliwa...
 
Back
Top Bottom