Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu mimi hii computer yangu ya HP imekwama. Kwa siku kama tatu imekuwa ikikwama kufungua page au kutii komandi mapema. HDD yangu imefanyiwa partition na ina drive ya C na D. Drive C ina OS ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wa Kazi Mambo Vipi? Jamani Naomba Mnisaidie Akili na Mawazo Kidogo. Nimefungiwa wireless Internet Sasa nataka Mpaka Office zingine waweze kupata Internet Nikapata wazo la Kufunga d-link...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Laptop yangu ina windows vista, but nataka nitumie windows xp 2p2, can i downgrade without loosing my data?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnipe jinsi ya kudownload signed version of opera mini 4.3 maana ninayo ambayo si signed hivyo siwezi save page. Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni takribani kama miezi sita sasa toka tufanye uchaguzi. Sijawai kusoma makala ya kitaalamu isiyokuwa ya kisiasa juu ya mchango mapungufu ya kiufundi au vifaa vya KI ICT kwenye uchaguzi wetu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi hizi "unlimited bundles" za Sasatel ni unlimited kwa maana halisi au kwa maana ya wao kukupa MB fulani, kisha zikiisha hizo, unaongezea nyingine kwa gharama ya ziada? Ninauliza hivyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani habari za Jioni Nahitaji Internet Connection yenye Speed kubwa kwa kampni ya watu kama 15 ambayo tunaweza kudownload chochote tunachokihitaji na ambayo haina tatizo kabisa je ni ipi kamuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasatel na Simply Computers nawapa siku 60 na ndani ya siku hizo muwe mmenilipa pesa zangu na kuniomba radhi,kunilipa pesa zangu na kunipa fidia kwa kunipotezea muda na nishati yangu niliyopewa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wajumbe naomba mnipe uwezo wa kuchagua modem ambayo iko rahisi kuitumia kiuchumi pamoja na speed.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Vp wana JF, Naombeni mnielimishe katika hili, nimekuwa nikienda dukani kutafuta simu flani eg Nokia 5800 music express nikaambia tuna simu ya mchina original! Nisaidieni hivi kweli kuna simu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nasikia kuna jinsi ya kuzifungua na ukaweza kutumia line zote. H alafu je inawezekana kutumia bila kuchajiwa au ni tetesi za watu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakubwa mambo vipi? Naombeni ip address za tigo internet
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niliitoa memery card ya camera yangu, kwa bahati mbaya picha zote zimefutika. Kuna njia gani ya kuzirudisha .au
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua mahali router znapouzwa kwa bei nafuu anitaarif location hyo. Nataka nijipatie 1.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nashindwa kutupia flash player kwenye simu yangu ya nokia E65, pia naomba tofauti ya real player na flash player . Naombeni msaada wenu wataalam.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimejaribu nikafikia hatua nikadaiwa username na password, hapo ndio nikakwama kwani sikuona na kujisajili ni pate username na password.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika huu uzi nitakuwa naweka link za framework tofauti tofauti za Java, nimegundua kuwa madeveloper wengi wa Tanzania hawana ufahamu wa framework za Java. Leo nimeanza na Seam Framework kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamii forum hamjambo wote! Safi. Kuna hii iliyoanzishwa vodacom dstv mobile ambayo inakuweza kuzama channel zipazo 5 kwa njia ya streaming video kwa sasa, hasa kwa wale wenye simu yenye uwezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…