Kuweza ku install,change settings as a user | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuweza ku install,change settings as a user

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ruphem2003, May 19, 2011.

 1. r

  ruphem2003 Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya saizi wana jf,nna shida moja naomba msaada wenu,pc ambayo naitumia ina users waili,administrator na user,sasa mimi naruhusiwa kutumia user ambayo iko restricted,vitu kama ku install programs nashindwa kabisa,ombi langu nikama kuna uwezekano wakuweza kuinstall na uninstall programs kama user kwani nimejaribu countless times naambiwa, "you dont have administrative priviledges to perform this task",na password ya administrator sina,nikiomba sipewi.

  Please Help JF ians
   
 2. mazd

  mazd Senior Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inaonekana hiyo PC sio ya kwako-henda ni kwa ajili ya shule au internet cafe-kua makini na wizi wa data za watu:

  ---Jaribu hii:
  Wakati imefica katika screen ya kuchagua account, bofya ctrl+alt+Delete , litafunguka box flani,katika section ya username andika "Administrator" then ENTER.
  Ikigoma subiri wataalamu wa JF.
   
 3. r

  ruphem2003 Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kaka,nlishajaribu tactics kibao,actually ni pc ya ofisi,sasa wamebana vitu kama kuinstall na kuchange any settings kama hardware and the rest,sasa mimi nna masoftware kibao nataka kuinstall kama itunes,bittorrent,nashindwa kutokana na kwamba naitumia pc kama user,nadhani umenipata kaka,nachohitaji ni kama kuna njia itakayo niruhusu niweze kuinstall programs kama user, au kama kuna njia yakuweza pata hiyo password ya administrator bila yakumuliza mtu,kwani nimeiomba bila mafanikio........
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure ni kwamba usifanye hivyo kibarua kinaweza kuota nyasi. Kutegemea na setup hao Admins wanaweza na kuwa na uwezo wa kuona programs zilizokuwa installed kwenye kila PC.
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama ingekuwa ni yako ungetafuta cd ya windows installationd ilyo compatible na hiyo windows unayotumia then unairepair hiyo windows cos all administrators rights huwa zinawekwa wakati wa kufunga os ndio maana hauwezi kufanya chochote,so kama ukirepair kwenye administrators rights usiweke kitu chochote nadhani tatizo litakuwa limekwisha coz document zako hazitapotea zitakuwa kama zilivyo na utaendelea kufanya vyovyote unavyotaka lakini kama ni ya ofisi sikushauri ufanye hivyo coz comp za ofisi huwa zinafanyiwa configurations za vitu vingi kama vile networking katika simu ,printers,faxes,scanners na photocopy so ukifanya utundu zaidi nadhani kibarua kitaota nyasi.
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hii computer husika ni ya kwako binafsi?
   
 7. m

  mperwa Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Muombe system admin wako akusaidie!
   
 8. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kama hiyo comp ni ya office,basi hauna ujanja zaidi ya kumwendea Admin na kumweleza kwa upole na kirafiki zaidi,ukimwelewesha kwa umakini kuwa unataka ku-install software 1,2,3... kwa sababu hii na hii. Ukileta ujanja ujanja ujue kibarua kitaota majani,ohooo!!
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uko kampun gan maybe naweza kukusaidia nenda kwa user name andika administrator kwenye password weka jina la kampuni husika'halafu kwenye cmpture name change pale jaribu hyo ikishndikana kwenye cmpture name weka unayoingia nayo
   
 10. F

  FredKavishe Verified User

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukishindwa piga chini(format o repair) mashine instal hizo vitu ukimaliza nenda kwe my computer right click go 2 my properties irudishe iwe kwenye domain kama mwanzo sema utahitaji password za administrator password ndo risk ya hii kitu inabidi ujue computer name yako na domain name ya company yenu mara nyingi domain name ndo inakuwa password so b4 doing hebu right click my computer nenda kwenye computer name ikifunguka click change angalia computer name na domain setting'rudi huku kwa administrator ingiza user name administrator password weka hyo domain maybe umekuta domain kaka.co.tz weka password kaka'ukishindikana andika computer name back slash kaka'ikishindikana niambie unatumia window ipi nikusaidie
   
 11. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ni suala la mara 1 tu.inaonekana your admin ameweka admin password,and amerestrict kufanya any kind of software installation because of virus threat,bandwidth limit,pia making u guys only busyy with the work,,i can show you how,but it will be on your own risk!!!!Are u ready?
   
 12. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  i dont think formatting ni good idea,He said ni pc ya kazini,so how is he going to put his face while he is formatting?na je siku hiyo atafanya kazi vipi?
   
 13. r

  ruphem2003 Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes im ready
   
 14. r

  ruphem2003 Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni ya ofisi
   
 15. r

  ruphem2003 Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipe hiyo miujanja kijana
   
 16. i411

  i411 JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kama unataka kuistal bit torrents try hii torrent client inaitwa bitspBitSpirit - Free software downloads and software reviews - CNET Download.comirit it bypass all security measures unless the admin knows about it to block it. Kwahiyo itafanya kazi wewe utakuwa unaitumia kutoka kwa usb yako na inaiweka zile setting kila kitu kidownlodiwe kwa hiyo USB yako na hadimin hata weza jua unafanya nini. Pia unaweza ukaenda hapa kwa hii website wana portable softwares ambazo unatumia kutoka kwa USB bila admin kujua ufanyalao.
   
 17. r

  ruphem2003 Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru i411,ngoja nijaribu nijionee.
   
 18. r

  ruphem2003 Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i411,hivi karibuni employer wangu kaniuliza kama niko motivated kufanya kazi hapa ofisini kwake,kumbe ameona all the application emails i've been sending to various companies,sasa nnchotaka kujua,je alipo findout ni kwamba ameona actual emails that i've sent au anachoona ni nini? kwani nimeogopa sana,yani ameona all the emails i've been sending,can u help me find ways of sending my emails without them seeing on the network,its scary!!!!!!
   
 19. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hapo kazini mnatumia personal emals eg. yahoo.gmail hotmail au ni email ya kampuni eg. @tttcl.co.tz, @bmtl.com... yaani kama kampunia yako inaitwa abc email yako inaishia na @acb.com? kama ndiyo basi amemtaka admin kuprint email zako zote kutoka mail server na hutaweza kwepa labda utumie hizi za personal as yahoo, hotmail,gmail....... etc
   
 20. r

  ruphem2003 Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatutumii hizo za ttcl au bmtl,mimi sio dumb kiasi hicho,nnatumia personal email,yahoo actually,sasa ameniambia kuwa wameziona zote nikashangaa,sina uhakika kama wameziona ila ameniambia bosi mwenyewe,kwani nikituma kwa yahoo hawawezi ziona inamaana,au wameona word docs nilizo save kwenye pc,nieleweshe vizuri kaka,kwani ishakuwa shida tayari
   
Loading...