Jamani naombeni msaada wa ku-unlock modem ya Airtel [E153u-2]

Jamani naombeni msaada wa ku-unlock modem ya Airtel [E153u-2]

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
278
nasikia kuna jinsi ya kuzifungua na ukaweza kutumia line zote. H
alafu je inawezekana kutumia bila kuchajiwa au ni tetesi za watu?
 
search humu humu . mambo hayo tumeyazungumza kwa kiiiiinaaa
 
Back
Top Bottom