Nimeshindwa kujisajili tcu

blackdog

Member
Jan 9, 2011
89
8
Nimejaribu nikafikia hatua nikadaiwa username na password, hapo ndio nikakwama kwani sikuona na kujisajili ni pate username na password.
 
Nimejaribu nikafikia hatua nikadaiwa username na password, hapo ndio nikakwama kwani sikuona na kujisajili ni pate username na password.
weka yoyote ambay utajaikumbuka baadaye. hata ambayo unatumia kwenye internet. Utaona utaendelea.
 
weka yoyote ambay utajaikumbuka baadaye. hata ambayo unatumia kwenye internet. Utaona utaendelea.

Pole,password tumia ya email adress yako na username ni neno lolote lile unalodhani hutalisahau.....hizo ndo funguo zako mara utakapotaka kucheki pudates zaTCU.
 
Username kwenye mtandao wa tcu kwa wale wanaotaka kujiunga na chuo,ni index namba ya fomu six.kama ulijisajili na ukasahau password,basi kuna sehemu imeandikwa "reset password"
 
MWANZO KABISA UNAPOJISAJILI KWENYE SYSTEM YAO, UNAINGIZA MWAKA WA KUMALIZA SHULE (4M 4), UKISHA SABMIT TU, AUTOMATICALLY SYSTEM ITAKUTUMIA MESSAGE YA USER NAME YAKO, WAKWTI HUO UNAKUMBUKA PASSWORD ZAKO, NA BAADA YA APO UNAWEZA KUENDELEA NA USAJILI, KWA KUFUATA TARATIBU ZAO.FORM UNAZOJAZA ZIPO UPANDE WA JUU KULIA MWA FORM YAKO, IKIKUBALI INAAMIA KUSHOTO JUU YA FORM YAKO, THEN NYINGINE , MPAKA ZIISHE NA UTATUMIWA SMS YA SUCCESSFULL. thanks
 
Back
Top Bottom