Mchango wa ict uchaguzi wa tanzani 2010

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Ni takribani kama miezi sita sasa toka tufanye uchaguzi. Sijawai kusoma makala ya kitaalamu isiyokuwa ya kisiasa juu ya mchango mapungufu ya kiufundi au vifaa vya KI ICT kwenye uchaguzi wetu

So From Tecnlogical point of view and not political naleta mada hii tujadili.

  • Hardware and software specifications
  • Mchango
  • mapungufu
  • udhaifu
  • faida /hasara
  • SWOT( Strenght, Weakness. Opportunity) ya ICT na vifaa vilitumika vilivyotumika
Kuna baadhi ya process kama kupiga kura na kuhesabu ni manual. Itakuwa vizuri tukijadili mchango wa computer processes katika system nzima ya uchaguzi

  • vifaa aina gani na model gani (hardware) vya ki IT( scanner, Kompyuta,etc ) vinatumiwa. na nini hasa ilikuwa kazi ya vifaa hivi

  • Je kuna software yeyote NEC walitumia.imetengezwa na kampuni gani ( Eg Ms Exel, etc.)Nini hasa ni kazi ya software husika?

  • Operators- Je operators wa hivi vifaa na hiz software kama data entry walipata practical training ya muda gani.

Nawasilisha kwa mjadala

NB:

  • Itapendeza watu wakiweka siasa pembeni tukajadili from IS/ICT point of view .hapa tujadili computer process ans sytem zilitomika.

  • Itapendeza kitengo cha habari cha JF kikijaribu kufuatiia kujua ni vifaa gani hasa na specification zake zilitumika.
Nawasilisha kwa mjadala.
 
Imekaa vizuri. Wanataaluma wa IS/ICT karibuni huu ni uwanja wenu. Dadavueni nasi tusio wataalamu tutajifunza. Ikibidi mjadili zile possibilities za hacking zilizokuwapo.
 
mimi nitagusia maopereta, kwa kweli team niliokumbana nayo mimi walikua vilaza ajabu!, nambie utafundishaje mtu kuingiza data wakati kuwasha na hata wengine kuiona computer bado ni jambo geni kwao.sipendi kuenda deep zaidi, ila for somehow waalamu walikuepo ila kuipata chance ilia inahitaji ubavu wa ngurue au jiwe, wakavaji walikua akina xx wa muheshimiwa xyz...inatosha
 
Na hii ndio ililetekeza ucheleweshaji wa matokeo katka vituo vikuu vya kujumlishia.
mimi sijui walitumia software gani lakini ilikuwa ni kwaajili ya kujumlishia matokeo tu na kuyatuma makao makuu ya tume, kila alieulizwa mbona matokeo yanachelewa majibu ilikuwa mtandao unasumbua mara programu imekwama mafundi wanashughulikia.nadhani ni kutokana na hao wataalamu wasio na ujuzi

Walicho nifurahisha kidogo ni angalau mtu kwa kupita simu au mtandaoni ulikuwa unaweza jua kituo chako kilipo

All in all ict haikupewa nafasi kabisa maana almost kila kitu kilikuwa manual.

Wakati mwingine nafikiria labda vikija hivyo vitambulisho vya taifa itasaidia, hakuna kujiandikisha unaenda na id yako unatumbukiza kwa mashine una vote ina count , kama upo under age mashine inakukataa,
 
Na hii ndio ililetekeza ucheleweshaji wa matokeo katka vituo vikuu vya kujumlishia.
mimi sijui walitumia software gani lakini ilikuwa ni kwaajili ya kujumlishia matokeo tu na kuyatuma makao makuu ya tume, kila alieulizwa mbona matokeo yanachelewa majibu ilikuwa mtandao unasumbua mara programu imekwama mafundi wanashughulikia.

Walicho nifurahisha kidogo ni angalau mtu kwa kupita simu au mtandaoni ulikuwa unaweza jua kituo chako kilipo

All in all ict haikupewa nafasi kabisa maana almost kila kitu kilikuwa manual.

Wakati mwingine nafikiria labda vikija hivyo vitambulisho vya taifa itasaidia, hakuna kujiandikisha unaenda na id yako unatumbukiza kwa mashine una vote ina count , kama upo under age mashine inakukataa,

Yah inachanganya unajua kwenye Information system kuna kitu kinitwa Data flow au process flow.

Sasa somtime e inachanganya kama Jimbo la kigoma linaweza kutoa matokeo mapema wakati jimbo la Dar yanachelewa.Sasa is this a computer system au manual system.

Wasi wasi wangu mimi wakati walikuwa wanatoa majibu mepsi kuwa system zina matatz kwangu nadhani ni manual rocess do zilileta matatizo.
 
Mchango wa ICT ulikuwa mdogo coz most operation zilifanyika manually, halafu pia katika baadhi ya vituo hata hizo facilities i.e Computers zilikuwa chache sana na kufanya kazi iende slow sana na pia system ya NEC ilionekana kuwa na matatizo mengi, next time inabidi kujipanga mapema, wahakikishe wanatrain watu vizuri,wana working tools za kutosha.
 
Back
Top Bottom