Reparing window XP with window7. Is it possible?

Sanja

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
499
223
Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
 
Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
mkuu unaweza kabisa ku upgrade windows xp to windows 7 bila kupoteza data zako, lakini huwezi ku repair windows xp kwa disc ya windows 7.
 
Mkuu hutapoteza documents kama ukichagua option ya ku-upgrade badala ya freshi install. But as a rule of thumb kama wewe sio mtaalamu wa haya mambo back up kwanza documents zako muhimu kwenye external drive, just case mambo yakienda mrama. Huwezi jua. turn your computer on. Kila kitu kikishafunguka na kutulia, then ingiza Win 7 DVD. A pop up will come up telling you to upgrade. But back kwanza documents zako muhimu uepuke kuja hapa tena baadae kuuliza how to recover the documents.
 
Reparing maana yake nini?

Kama una maanisha ku fix ubovu, tatizo ni nini?
 
Reparing maana yake nini?

Kama una maanisha ku fix ubovu, tatizo ni nini?
Nilimaanisha upgrading kama wadau hapo juu walivyo elekekeza. But still kuna insue ya baadhi ya softwares kama Java Compiler na Text Pad kusumbua ktk baadhi ya PCs zenye window 7 na Vista, vipi kuna sababu obvious za hii kitu
 
  • Thanks
Reactions: EMT

kama hizo software haziko compatible na win7 then inaweza kuwa ngumu. Jaribu kucheki sites za hizo software zenyewe kama wameshaziupdate.
 
Oh sorry, Uko right mkuu. Kwa XP itambidi afanye custom installation. Upgrading from Windows XP to Windows 7 - Help & How-to - Microsoft Windows

Kwa mujibu wa hiyo link ya microsoft, hiyo kitu anayosema jamaa (ku upgrade bila kugusa mafaili yake) ni haiwezekani.

"To upgrade your PC from Windows XP to Windows 7, you'll need to select the Custom option during Windows 7 installation. A custom installation doesn't preserve your programs, files, or settings. It's sometimes called a "clean" installation for that reason.

The original installation discs or setup files for the programs that you want to use with Windows 7. You'll need to reinstall your programs by hand after installing Windows 7."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom