Sasatel na Simply kaeni tayari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasatel na Simply kaeni tayari

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mwalimuwao, Apr 22, 2011.

 1. M

  Mwalimuwao Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [​IMG]Sasatel na Simply Computers nawapa siku 60 na ndani ya siku hizo muwe mmenilipa pesa zangu na kuniomba radhi,kunilipa pesa zangu na kunipa fidia kwa kunipotezea muda na nishati yangu niliyopewa na Mungu,Kutoa fidia kwa watu wote mlio wasababishia matatizo kama yangu na kama haya au kati ya haya ayatafanyika basi safari mahakamani.

  Naomba wana JF
  1:-Maombi yenu
  2:-Mnipeushirikiano wenu kufanikisha jambo hili ili kuondoa usumbufu kwa wananchi
  3:-Kama umepata matatizo yoyote katika kampuni tajwa hapo juu basi ungana nami katika huu mpambano
  4:-msaada wa kisheria na mawazo na
  5:-mengineyo
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Matatizo gani mdau?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu siungesema matatizo ganii, inakuwa ngumu kuunga mkono kitu hukijui kaka
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Umekurupuka, kwa style hiyo kushinda kesi sio rahisi!
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mbona mkuu hujaeleza umepatwa na nini?au umeangukiwa na mnara?
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  nini shida mkuu kwani naona veve iko hasira sana
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  muraa punguza hasira mura
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hivi wewe umejiunga leo na leo leo unaanza kumwaga upupu kwa kukuruka........duh,kwani unakimbizwa mkuu,elezza kitu kwa ufasaha tukuelewe tukupe msaada wa mawazo. Sasa wewe ni kulalamika tuuuu kama mtoto wa kike bila kueleza sababu...shit!!!
   
 9. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Elezea tatizo mkuu sasa unaomba ushauri wakat tatizo haulisemi?
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  umepewa notebook kimeo? eleza tatizo...
   
 11. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani Mods wanatakiwa kuanzisha jukwaa la hasira na visasi.
   
 12. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tatizo nini kijana?
  sema usaidiwe
   
Loading...