Ninunue modem gani ?

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
wajumbe naomba mnipe uwezo wa kuchagua modem ambayo iko rahisi kuitumia kiuchumi pamoja na speed.
 
I suggest nunua Zain alafu ui-flash ili uweze kuitumia kwa Voda pia; sababu ukinunua zantel huwezi ukaiflash.

Hii itasaidia kama in the future kutakuwa kuna offers btn zain and voda unaweza ukaswap.
 
Duh, wajumbe bado nahitaji mawazo zaidi @VoiceOfReaso
hapo ya zain unai flash vp? kwenye komputa kama wafanyavyo mafundi simu au?
 
Duh, wajumbe bado nahitaji mawazo zaidi @VoiceOfReaso
hapo ya zain unai flash vp? kwenye komputa kama wafanyavyo mafundi simu au?
Tafuta kuna Post hapa alishapost mdau mmoja inaonyesha jinsi ya kuflash au ukishanunua ukituma namba zake hapa wadau watakupa codes za kuiflash...

Pia kwa sasa deal nzuri ni zain 15,000/= wanakupa 3gb kwa wiki; Voda wanadai 10,000/= wanakupa unlimited download kwa wiki lakini hawa majamaa ni matapeli watakuwa wanakata kata connection kwahiyo download haiwi smooth
 
Chukua Zantel ina speed ya hali ya juu kuliko zote hapo juu.

Kama unaishi mbali na maeneo ya mjini yaani mwisho ubungo, mwenge, buguruni usichuku sasa tel maana inaishia maeneo hayo kushika
 
Chukua Zantel ina speed ya hali ya juu kuliko zote hapo juu.

Kama unaishi mbali na maeneo ya mjini yaani mwisho ubungo, mwenge, buguruni usichuku sasa tel maana inaishia maeneo hayo kushika

ni kweli sasatel network yao kmeo ila nilikuwa kitunda nikapata net cjui wameongeza maeneo
 
Hii ni kwenye Simu tu...

mbona niliwahi kutumia kwenye laptop na ikakubali but juz nilitumia my phone as a modem kwenye comp mida ya usiku nikaliwa mb zangu but nikijaribu kwenye line ambayo haina vocha ina function.
 
Nunua ya Voda siku hizi wako cheap na speed yao ni super. Mimi natumia hiyo haikatikati na speed ni nzuri sana. Zamani ndo walikuwa ghali siku hizi ni cheap sana. Huwa nasafiri sana popote naconnect bila shida hasahasa kwenye 3G network yao. Mwanzo nilikuwa na Airtel nikitoka kijijini kidogo tu ni shida sana kupata.
 
My advice is Zantel CDMA which you buy for 49,900 and you can subscribe 2GB for only 10,000 per week,the speed is stable comparing to GSM modems ambazo kuna sehemu unapata 3G na maeneo mengi nje ya mji unapata EDGE/GPRS which is relatively slow and boring speed
 
ni kweli sasatel network yao kmeo ila nilikuwa kitunda nikapata net cjui wameongeza maeneo

Ukiwa mbezi shamba, kibamba, Gongo la mboto hawashiki mitandao mingine bwana inashika kwa wahindi tu mjini
 
Chukua Zantel ina speed ya hali ya juu kuliko zote hapo juu.

Kama unaishi mbali na maeneo ya mjini yaani mwisho ubungo, mwenge, buguruni usichuku sasa tel maana inaishia maeneo hayo kushika

Zantel wapo fasta unagusa tu kitu tayari
 
Zantel wapo fasta unagusa tu kitu tayari

kwakweli wapo juu jamaa yangu aliniazima modem yake ec226 ev-do rev.a yani aibu nilikuwa naangali aljazeera live bila chenga jamani niliwakubali cjui hizi modem mpya wanzouza 49, zile za mwanzo bado bei juu
 
Chukua Zantel ina speed ya hali ya juu kuliko zote hapo juu.

Kama unaishi mbali na maeneo ya mjini yaani mwisho ubungo, mwenge, buguruni usichuku sasa tel maana inaishia maeneo hayo kushika

My advice is Zantel CDMA which you buy for 49,900 and you can subscribe 2GB for only 10,000 per week,the speed is stable comparing to GSM modems ambazo kuna sehemu unapata 3G na maeneo mengi nje ya mji unapata EDGE/GPRS which is relatively slow and boring speed

Zantel wapo fasta unagusa tu kitu tayari

Let me plead my case against ZANTEL as a ZANTEL USER MYSELF

PROS:-
kwa sasa Zantel wako faster (but until when) sababu bado hawana wateja wangi kama hao providers wengine am sure watu wengi in the future wakijoin Zantel speed itapungua

CONS:-
  • Sababu huwezi kuiflash zantel kutumia voda au celtel hii inaamanisha siku zantel wakiboronga you are stack
  • Zantel kupata the best package inabidi huwe Highlife ambapo unapewa 2gb per week tatizo ni kwamba hizi zikiisha huwezi kurenew kabla wiki haijaisha... so whats the point of having all this speed ambapo kama utamaliza hii package huwezi renew
  • kuna sehemu Zantel haipatikani vizuri
  • Kama Zantel ikiwa na matatizo mfano kuna siku ilikuwa down kwa 24 hours then your are in for it.....
  • Zantel anytime wanaweza wakabadilisha package kuna wakati walisema kupata highlife internet 10,000/= per week mpaka utumie 5,000/= a week kwenye simu... hii iliniuzi sana nikawapigia customer care na kuja juu sana (na kuwaambia wakiendelea hivi wataloose customers sababu for 15,000/= you can get a better package with zain 3gb)... palikuwa hapatoshi... wakasema kwamba hii issue wataifanyia kazi, na wataongea na maboss wao.... ila mpaka sasa am only using 10,000/= a week sijui kama walibadilisha huu mpango wao au wamenisahau
CONCLUSION SABABU YA UWEZEKANO WAKUFLASH ZAIN/VODA HII INAFANYA ANY OF THE PREVIOUS IWE BETTER THAN ZANTEL
 
Back
Top Bottom