Flashplayer

Flashplayer

Mbava

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
30
Reaction score
1
Nashindwa kutupia flash player kwenye simu yangu ya nokia E65, pia naomba tofauti ya real player na flash player . Naombeni msaada wenu wataalam.
 
Flash player ni software kwa ajili ya kuangalia animations na movies kwenye web browsers (inakuwa integrated huko, ingawa Mac hawai-support). Unaweza pia kuipata kama standalone ambaya itakusaidia ku-play files kama SWF na FLV

Real player hii ni media (music, video, photos) player, manager, organizer, etc. Ni cross-platform, kumaanisha inaweza kucheza formats mbalimbali kama vile Real Audio, MP3, MPEG-4, Quick Time, WMA, n.k. Pia ina uwezo wa kufanya streaming kwenye internet.

Kwenye baadhi ya simu sanasana zinazotumia OS ya Symbian (kama hiyo ya kwako ambayo ni S60 platform, a 3rd ver of Symbian) inakuja ikiwa installed as freeware ili kucheza mafaili kama Real Audio, Real Video, 3GP, AMR na pia kufanya streaming ya MP3 na 3GP.
 
Shukrani Guta umenifungua akili keep it on.
 
Nimeipenda topic hii, mimi pia nina tatizo kwenye cm yangu nokia 5130c-2, inadownload video kwenye you tube lakini hakuna option ya kusave na kwa video zinazopostiwa mara nying hapa jf nikijaribu kufungua youtube haidisplay chochote. Kuna namna ya kufanya hapo?
 
ina real player? kama ipo unaweza kwenda kwa real player settings then unaweka access point ambayo ipo default kwenye browser ya simu yako, from there kama ukifungua video ktk youtube direct itafungua kupitia realpla
http://m.facebook.com/findfriends.php?pymk_index=10&refid=43
 
Haina real player, naweza kuipata kwenye net au ndo basi kama simu haikutoka nayo?
 
Real player inafunction kwenye symbian devices kama gurta alivosema inakuja pre installed na kwa model ya cm yako uloisema nadhani sio s60 ni s40.
 
Hallow wana JF,nami nina simu E71 na N70 nimeshinwa kutumia ili kupata mfano DStv mobile ,je simu hizi zinasapoti hiyo huduma?Je huduma nyingine ninazoweza kunufaika nazo ni zipi? Simu hizi moja ni korea nyingine German
 
zinafaa kabisa jaribu kuconfigure acces points zako mkuu.
 
Back
Top Bottom